A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano.
Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa Bajaj hawakamati, wao wanatumia wapiga debe ikitokea abiria ameomba kushuka ghafla wanatokea hao wapiga debe na kuchukuwa funguo kwenye chombo bila kuangalia usalama ulivyo eneo husika.
Rushwa imekithiri kwa baadhi yao, mfano wiki hii nimeombwa Sh 30,000 wakati nabembeleza ipungue, nikatolewa hiyo fine kuwa ya makosa matano. Changamoto hiyo hasa ipo Barabara ya Mbagala, eneo lote imefika wakati tunaogopa hata kuingia barabarani sasa.