Wanavuta bangi pale Arsenal?

Wanavuta bangi pale Arsenal?

Mkuu nikurekebishe kidogo , mkataba wa Luis Suarez ulikua unasema timu yoyote itakayolipa zaidi ya paundi milioni 40, wataruhusiwa kumsajili,

sasa Arsene Wenger na ubahili wake akaongeza paund moja tu, ndio ni paundi moja na sio milioni moja (40,000,001) wenger alijua atatrigger release clause ya Suarez, yaani ulikua uhuni wa hali ya juu wa Mzee Wenger ndo maana mmiliki wa Liverpool akauliza huko Arsenal wanavuta nn?
Kweli hio ni bangi haswa duuu
 
Hilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza Paund mil. 1 na kuwa 41! Yeye W. Heny aliwaona kama mateja wasiojielewa wanataka nini!!

Nimeikumbuka kauli hii leo baada ya kuona eti Arteta anaenda kuwa Meneja mpya wa Arsenal kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu kwa mshahara ule ule wa Unai Emery wa Paund mil. 5 kwa mwaka!!! Najiuliza hv pale Arsenal wanavuta chaa Arusha tena chenye mbegu kabisa?

Mike Arteta hana historia ya kufundisha hata championship! Kama Emery mwenye CV nzuri ameshindwa je Arteta anaweza nini??

Naambiwa Arsene Wenger wakati anaondoka alipendekeza CARLO ANCELOTI wao wakapiga chini wazo lake! Nasikia walimwita Max Allegri kwenye interview ,Allegri aliwauliza arsenal 'Kwanini mnataka mimi kuwa meneja wenu? Arsenal wakakasirika wakamuona ni mjivuni na mkorofi hivyo hafai kabisa!

Nasikia Walivutiwa na Emery kwasabb jamaa alikuja na video analysis ya kila mchezaji wa arsenal ikionesha uimara na udhaifu wa kila mchezaji na akaonyesha namna atakavo improve wachezaji hao!Arsenal wakamuona anafaa kwasababu hatotumia fedha nyingi kwenye usajili!!!

Leo Arteta anapewa mkataba kisa anaijua arsenal na wachezaji wake!!!sababu hii ni ya ajabu!kwani Ljumberg haijui Arsenal?ina maana Arteta anaijua Arsenal kuliko Ljumberg?wakati fred ljumberg kafundisha Arsenal tim ya vijana na kila siku yupo viunga vya Arsenal tena aliichezea kwa mafanikio kuliko Arteta!Haya ni maajabu kabisa!!

Kumbe W.Henry hakukosea alipouliza "Do they smoke there at Arsenal"? Ngoja tuiione Arsenal ya MIKEL ARTETA!!!
Mkuu leo una maoni gani kuhusu Arteta?
 
Ukome kuchangia kama umekatwa kichwa .... uwe unafikiri kabla ya kuropoka
 
Arteta alipoikuta Arsenal alihitaji muda kuijenga na Sasa anakwambia Bado hajaipata Arsenal anayoitaka yeye
 
Bado wanavuta bangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kumbe Bangi Ina faida sana!
Kukaa pale juu si kazi rahisi. Kila Arsenal player is on [emoji91][emoji91]!
Timu chacge sana hazijagongwa na Arsenal kwenye EPL.
Hebu tuzitaje zilizogongwa na Arsenal msimu huu:
1. Liverpool
2. Man U
3. Tottenham
4.
 
Back
Top Bottom