kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arteta , lampard , na Ole wote ni mizigo tuu hakuna kocha palee ..Neno naambiwa sio ishu!ni kutoka vyanzo vya uhakika kama sky sport,Daily mirror na n.k!au ningeandika nimesoma?au nimesikia?vyote nilivoandika ni ukweli usemwao na vyombo vya habari vya kuaminika!!!Hata leo Wenger kaongea kuwa yeye kama mshabiki wa arsenal atamsapoti kocha yeyote atakaekuja lakini ukweli ubaki pale pale kuwa ARTETA HANA UZOEFU KABISA WA KUWA KOCHA!!!
Anceloti huyu huyu Anaetimuliwa kila timu? Umri Umeshakwenda na Benitez Alietimuliwa Newcastle? Kuna Makocha Uwezo wao Umeshagota wamebaki kuganga njaa tu..
haha aiseeUkienda wewe itakuwa poa sana, nahisi utamaliza vilio vyetu [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mid naipenda arsenal damu, arteta kupe sijapenda ila kisokatusihukumu kwanza pasina matokeo.
Ila binafsi nilipenda aje kocha tayari ana CV iliyoshiba. Carlo angetufaa sana.
Jidanganye.....kwa taarifa yako target yake ya kwanza ni kufanya usajili January na summer...Makocha wakubwa kabla ya kuja wanataka kuhakikishiwa hela ya usajili, arteta hana mashariti hayo ndio maana wameona anawafaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbukeni ata wenger mwenyewe hakuwa na cv lakini aliifanyia arsenal vingi sana so ata ateta hana uzoefu wa kufundisha ila anaijua vema ligi kuu ya england
Zidane amekaa kwenye benchi la ufundi la Madrid miaka 6, amekaa pamoja na Allegrin, Crpelo, Mourinho, Anceloti na Benitez , ni uzoefu tosha huo labda uwe kichwa maji tuSi kila kocha mwenye cv kubwa atafanya vizuri vile vile si kila kocha ambaye hana cv kubwa atachemka. Zidane bila cv kubwa kachukua ucl mara tatu mfululizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna ka ukweli because Arsenal finished 8th place mfululizo in two seasons katika EPL and Arsenal failed to qualify for the major European competition since 1995 under ArtetaHilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza Paund mil. 1 na kuwa 41! Yeye W. Heny aliwaona kama mateja wasiojielewa wanataka nini!!
Nimeikumbuka kauli hii leo baada ya kuona eti Arteta anaenda kuwa Meneja mpya wa Arsenal kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu kwa mshahara ule ule wa Unai Emery wa Paund mil. 5 kwa mwaka!!! Najiuliza hv pale Arsenal wanavuta chaa Arusha tena chenye mbegu kabisa?
Mike Arteta hana historia ya kufundisha hata championship! Kama Emery mwenye CV nzuri ameshindwa je Arteta anaweza nini??
Naambiwa Arsene Wenger wakati anaondoka alipendekeza CARLO ANCELOTI wao wakapiga chini wazo lake! Nasikia walimwita Max Allegri kwenye interview ,Allegri aliwauliza arsenal 'Kwanini mnataka mimi kuwa meneja wenu? Arsenal wakakasirika wakamuona ni mjivuni na mkorofi hivyo hafai kabisa!
Nasikia Walivutiwa na Emery kwasabb jamaa alikuja na video analysis ya kila mchezaji wa arsenal ikionesha uimara na udhaifu wa kila mchezaji na akaonyesha namna atakavo improve wachezaji hao!Arsenal wakamuona anafaa kwasababu hatotumia fedha nyingi kwenye usajili!!!
Leo Arteta anapewa mkataba kisa anaijua arsenal na wachezaji wake!!!sababu hii ni ya ajabu!kwani Ljumberg haijui Arsenal?ina maana Arteta anaijua Arsenal kuliko Ljumberg?wakati fred ljumberg kafundisha Arsenal tim ya vijana na kila siku yupo viunga vya Arsenal tena aliichezea kwa mafanikio kuliko Arteta!Haya ni maajabu kabisa!!
Kumbe W.Henry hakukosea alipouliza "Do they smoke there at Arsenal"? Ngoja tuiione Arsenal ya MIKEL ARTETA!!!
Mkuu nikurekebishe kidogo , mkataba wa Luis Suarez ulikua unasema timu yoyote itakayolipa zaidi ya paundi milioni 40, wataruhusiwa kumsajili,Hilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza Paund mil. 1 na kuwa 41! Yeye W. Heny aliwaona kama mateja wasiojielewa wanataka nini!!