Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

Mji huu zamani ulikua unaitwa bandari salama,na watu wake walikua wanaishi kwa salama,amani na upendo na mzunguko wa biashara ukakua,na kila mtu aliye mkoani alitamani kuja dar ili kujichanganya na watu wa hapa,hili ndo linalowafanya watu wengi wapende kuja kupata baraka za mjii na baraka hizi zisabishwa na wazee wetu wa zaman,ila kwasasa mtihani sana.
 
Dar muhimu sana kule maji yake yana baraka then ndo uingie huko gidamilanda kwa wa tindiga
 
Kuna duu mmoja yeye alikuwa anazuga kwao dar tena oysterbay kumbe wanaomfahamu wanadai kwao shinyanga uko vijijini ndani ndani,,,hao ndo wanachuo
 
Mkuu dar ndo ulaya yetu..hapo ndipo kila kitu huuzwa hata utumbo wa kuku na manyoya yake.Ila kuna mentality kuwa hilo ni jiji la wajanja ...
 


kumbe kelele zot ww dem chuo umesoma shamba huko !
dar ndo kila ktu waach haw malaya wapagawe
 
Teh kila mtu boyfriend wake anaishi dar. Me Nipo kwenye kimbinyiko hivi naenda draaaaa (dar) teh

afu ana gari, kuna hostel moja ipo mahal sasa najiulizaga ina maana hostel nzima kila.mtu.bwana.ake.ana gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…