Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaeda kwa WaHadzabe?🙂 No tatizo..Mi nipo domestic departure na naelekea Yaeda.......kuna mwenye tratrizo huko.......?......
DAR yenyewe Joto kama nini..Dar ndio Tanzania
Umeshawahi kuona Uoto wa Asili wa Usa River,Tengeru, Maji ya Chai n.k?Dar muhimu sana kule maji yake yana baraka then ndo uingie huko gidamilanda kwa wa tindiga
Huko si ndipo itara linapoishiUmeshawahi kuona Uoto wa Asili wa Usa River,Tengeru, Maji ya Chai n.k?
Ha..haa.. mtu akienda huko harudii..Huko si ndipo itara linapoishi
Anaitwa Katarina wa karatu
Hahahaha dah umetaja nyumbani kwetu kabisa.....They call it bariadi,we call it home.... Simiyu Express
Kwa nini hutarudia tena mkuunilipandaga hiyo.simiyu kutoka shy.to dar asee sitarudia tena
Kwa nini hutarudia tena mkuu
Mkuu dar ndo ulaya yetu..hapo ndipo kila kitu huuzwa hata utumbo wa kuku na manyoya yake.Ila kuna mentality kuwa hilo ni jiji la wajanja ...Good morning....
Enzi hizo naanza chuo nlikua nashangaa kila mwana chuo anasema kwao dar, mtu anaongea lafudhi yani kisukuma cha ndani kabisa huko mwamashimba ila ukimuuliza kwao anasema dar tena anajitahidi na kumix kidogo lafudhi ya dar mi naiita kuvunja nazi..... Hiyo mixer ya kisukuma plus kuvunja nazi sasa mweh!!!
Juzi nlikutana na masista duu wa chuo, tunafamiana wakawa wananiaga wanaenda likizo, wa kwanza nikamuuliza home wapi, akajibu naenda dar af kesho kutwa narudi, nikamuuliza kwanini unarudi soon akasema narudi afu ndo naenda home Arusha. Dar kunani huko nami nije? Mtu anaona noma kusema arusha kisa dar?
Wa pili sasa lol nae nikamtel safari njema home wapi, akajibu napita dar kwanza nisipoenda itakua lawama, Ha ha nkauliza tena so home wapi nkaona sura yake imenyong'onyea, imejaa wasiwasi, kwa sauti ya chini akajibu nikitoka dar naenda kigoma kwa mama nilijizuia tu kucheka ila kweli ilinichekesha sana.
Jamani dar kuna nini huko? Wahenga walisema mkataa kwao mtumwa. Wasomi tabia mbaya hiyo kwani ukisema kwenu mwamashimba kuna ubaya gani?
wanavyuo nawatakia likizo njema, BILA SHAKA WOTE MPO NDANI YA SHABIBY KWENDA DAR HAKUNA ALIEPANDA SARATOGA YA KIGOMA LOL
Good morning....

Teh kila mtu boyfriend wake anaishi dar. Me Nipo kwenye kimbinyiko hivi naenda draaaaa (dar) teh
kumbe kelele zot ww dem chuo umesoma shamba huko !
dar ndo kila ktu waach haw malaya wapagawe