KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Acha wivu choko wwNiletee asie na makeup kwanza nitakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu choko wwNiletee asie na makeup kwanza nitakuelewa
Huyi mtoto namkubaligi kinYAmaBila kumtaja Lisa Jensen hiyo orodha haijakamilika na ni utani mkubwa sana.
Mno. Ni kazuri sana kale kadada. Sijui yuko wapi siku hizi?Huyi mtoto namkubaligi kinYAma
MB doggy aliimba akijiliza weee lakini akajifanya hamwoni.... Hakuwa na shobo na wasaniiKikulacho kinguoni mwako..
Kweli nancy mkali.. Mwenye namba yake anipatie PM nimpatie baraka zake. Leo siku njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia aliolewa yuko mamtoni sikuhiziMno. Ni kazuri sana kale kadada. Sijui yuko wapi siku hizi?
Hamisa Mobetto alitakiwa kuwepo kwenye list
Ndo yy mkuuu fake lifer tu huyoHuyo alombambika Diamond mtoto kumbe Kazaa na Mwanaume mwingine? au siyo?!
Aisee. Kawa mtulivu sana. Mwamba anafaidi.Naskia aliolewa yuko mamtoni sikuhizi
Aisee. Kawa mtulivu sana. Mwamba anafaidi.
aiseeAibu yake ameumbuka mbaya!
Na alivyokuwa anajitapa kuzaa na wanaume wenye hela ! [emoji28]
Wee n wa kiume??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aibu yake ameumbuka mbaya!
Na alivyokuwa anajitapa kuzaa na wanaume wenye hela ! [emoji28]
Umewataja mama zako. Mada inazuungumzia wasichanaUnaongelea wa nyakati zipi? Mana Kwangu mimi anaanza Mama Anna Makinda, Mama Anna Tibaijuka, Mama Anna Abdalah, Mama Anna Mkapa na Mama Anna Lukinjo
Utaungana na matonya kumsubiri Nancy jamaa alitaka Hadi kujidhuru.Kikulacho kinguoni mwako..
Kweli nancy mkali.. Mwenye namba yake anipatie PM nimpatie baraka zake. Leo siku njema
Sent using Jamii Forums mobile app