Ni kweli ndio maana nimeishia kucheka tu.Alichokizungumzia ni kweli kbs, sijawahi kujua kutofautisha aina yyt ya marembo na mapodozi ya wanawake[emoji2] [emoji2]
Wala usijisumbue , awe yeye aringe mkuu??
Sema kweliAlichokizungumzia ni kweli kbs, sijawahi kujua kutofautisha aina yyt ya marembo na mapodozi ya wanawake[emoji2] [emoji2]
Wakija usisahau kuniitaHahahaha
Leo nasubiria watu waanze kukana nywele zao!!
Hapa kila mdada ni nywele og tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli ndio maana nimeishia kucheka tu.
KweliSema kweli
Brazillian hair zinadumu muda mrefu, hayo manyoya ya kondoo utanunua kila siku.Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaWakija usisahau kuniita
Brazilian umeanza mfyuuuuuHahahaha
Kama hizo kwenye avatar zinaitwaje eti