Wanawake acheni kujichosha

Wanawake acheni kujichosha

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
485226.jpg

You make me want to spend time with you, wats your real name?
 
hahahaha sisi twajua kutofautisha uchura na sura sema hapo kwenye sura wanawadaka baadh mana make up n hatar m2 anakuwa had mzungu.
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Brazillian hair zinadumu muda mrefu, hayo manyoya ya kondoo utanunua kila siku.
 
Back
Top Bottom