Umeona eenhKwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo zamu yetu
Haha..sawa nimekuelewa baby..But don't ever change , i just love the way you are ,natural black hair , magical voice, not only beautiful face ..you also have a beautiful heart [emoji6]
Stay moderate ,smart !!! .... Ayo mengine waachie wanayoyapenda.
Ewaaaaaa unajua nn ...napenda ulivyomakini ..una take notes sana ..Haha..sawa nimekuelewa baby..
Nimekumbuka lile swali "hizi ni nywele zako"?
Ukweli mtupu huu, wadada wanahangaika waonekane na wao wamjini aka slayqueen wakati me anaangalia chura [emoji23][emoji23][emoji23]Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unajua kusema ukweli najuaga wewe ni KE na huwa nasitasita tu kuja PM kukutongoza ndio najua leo baada ya kusoma hapa!! Dah wekeni ID sizizo na utata jamani [emoji23] [emoji23]Ukweli mtupu huu, wadada wanahangaika waonekane na wao wamjini aka slayqueen wakati me anaangalia chura [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni ke banaMkuu unajua kusema ukweli najuaga wewe ni KE na huwa nasitasita tu kuja PM kukutongoza ndio najua leo baada ya kusoma hapa!! Dah wekeni ID sizizo na utata jamani [emoji23] [emoji23]
Sasa mbona unasema unaangalia chura? [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni ke bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] manywele bana mimi sijawahi kuyaelewa hata siku moja!Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vizuri, nimeandika me as in men, na sio me as miSasa mbona unasema unaangalia chura? [emoji15] [emoji15]
Ulinitisha hata mimi mkuu ujue[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni ke bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleUlinitisha hata mimi mkuu ujue[emoji23] [emoji23]
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]