Wanawake acheni kujichosha

Wanawake acheni kujichosha

Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
But don't ever change , i just love the way you are ,natural black hair , magical voice, not only beautiful face ..you also have a beautiful heart [emoji6]

Stay moderate ,smart !!! .... Ayo mengine waachie wanayoyapenda.
Haha..sawa nimekuelewa baby..

Nimekumbuka lile swali "hizi ni nywele zako"?
 
Yani wewe mwanamke umekuwa obsessed sana na wanaume kiasi kwamba pamoja na kuleta uzi wa kuwaponda wanawake lakini lengo lako kubwa ilikua ni hiyo sentence ya mwisho.

Yani unaona manaume ni washamba hawajui kutofautisha kati ya manyoya ya kondoo na wigi? SMH
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli mtupu huu, wadada wanahangaika waonekane na wao wamjini aka slayqueen wakati me anaangalia chura [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unajua kusema ukweli najuaga wewe ni KE na huwa nasitasita tu kuja PM kukutongoza ndio najua leo baada ya kusoma hapa!! Dah wekeni ID sizizo na utata jamani [emoji23] [emoji23]
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] manywele bana mimi sijawahi kuyaelewa hata siku moja!
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha,
Kuna yule dada wa taifa bana, juzi kila akiulizwa kuhusu nywele na style yake alikuwa na jibu moja tu - "This expensive real braziliani human hair".
Kweli mzungu arudi, mkoloni sisiem hatuwezi
 
Back
Top Bottom