- Thread starter
- #41
umenena vyema mkuuwanawake wa kibongo ni wachafu mno! asilimia 90 kama wana laana flani ya uzinzi na ukahaba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenena vyema mkuuwanawake wa kibongo ni wachafu mno! asilimia 90 kama wana laana flani ya uzinzi na ukahaba!
Sio kushinda nae tu...Mzee hammalizi mama haja zake! Sasa houseboy kama ameonesha kumzidi mzee ni wazi lazma amtindue mamaMwenye mke kayataka mwenyewe, mke anashinda na house boy kwa nini asimtege
Asante mjumbeSio kushinda nae tu...Mzee hammalizi mama haja zake! Sasa houseboy kama ameonesha kumzidi mzee ni wazi lazma amtindue mama
Wazi!Acha uboya wewe, kwani houseboy sio mtu acha dharau wewe,houseboy ni kazi tu kama kazi zingine. Nyie ndio mnaonyanyasa wafanyakazi wa nyumbani kisa standards.
Halafu aliyekudanganya mapenzi yanaangalia hadhi ni nani, demu wa Oysterbay anaweza akatoka kwao kwenye full AC kila mahali na akakimbilia kuishi manzese kwa msela tu wa geto mwenye kagodoro chini. Huyo jamaa hawezi mechi, mwanamke hata uumpe dunia kama kitandani huwezi kitu basi yeye ataishia tu kula pesa zako na kuzitumia kuwahonga wanaomkuna vizuri.
Kaka nimechelewa kutoa comment lakin sio kivile kabla sijajibu swali lako **** maswali yatakuwepo pia unijbu naanza hviNatumai hamjambo wakuu.
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.
Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.
Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe
Meza maneno yako wewe ilo jina mwanamke ndo limebeba sifa ya mtu anaitwa mama ako we unavo sema hvo je Kama na wew kupatikana mama ako alichepuka una uhakika gani Kama hyo unaye muita baba Ni baba ako halali acha ujinga alafu wanawake sio wazinzi Kama mlivo nyie kucheat kwa mwanamke nikutokana na upumbafu wenu mnao ufanyawanawake wa kibongo ni wachafu mno! asilimia 90 kama wana laana flani ya uzinzi na ukahaba!
Sio house boy tu ukicheza ata baba ako anaweza kumla mkeo ili ufunzwe adabuUmepata like nyingi za ma-house boy na waliotafunwa na ma-house boy kwa comment hii.
Maybe lakin kwa sababu hyo hyo ndo inakufanya tufafute pa kujisaidia sasa ukimchoka mkeo hyo Ni ndoa gan sasa au mliapa kuwalisha watu walin hamkumaanisha miyoni mwenu mmmh ndoa hzilinahbaby maelezo yako ni marefu bt hayana mantiki, wanawake wengi wakiwa katika ndoa huishi kwa mazoea tofauti na mwanzo na hiki ndo husababisha wanaume tuwachoke mapema...
wanaume tuna mambo mengi sana hivo mwanamke kama driver wa ndoa hapaswi kuishi kwa mazoea ndoani, mwanaume anahtaji faraja ya pekee anaporud hme coz kachoka pia kakutana na mengi sasa anaporud ukamchukulia poa unadhani atashughulika nawewe?Maybe lakin kwa sababu hyo hyo ndo inakufanya tufafute pa kujisaidia sasa ukimchoka mkeo hyo Ni ndoa gan sasa au mliapa kuwalisha watu walin hamkumaanisha miyoni mwenu mmmh ndoa hzi
Nisibishe sana maan mara nyingi hamtakagi kukosolewa anytime mnaona mnakuwaga sahihi tu ..wanaume tuna mambo mengi sana hivo mwanamke kama driver wa ndoa hapaswi kuishi kwa mazoea ndoani, mwanaume anahtaji faraja ya pekee anaporud hme coz kachoka pia kakutana na mengi sasa anaporud ukamchukulia poa unadhani atashughulika nawewe?
asilimia kubwa ndoa zinaharibiwa na wanawake na wala si mwanaume, ni nadra sana kuikuta ndoa inatetereka ikiwa ke amesimama imara kwa ndoa.
mwanaume anapenda sana kukosolewa na kusahihishwa na mkewe bt tatizo nyie hamtumiagi njia nzuri, utakuta unaropoka tu as if unaemwambia ni mwanao na hapa ndo hua mnakwama wanawake wengi...Nisibishe sana maan mara nyingi hamtakagi kukosolewa anytime mnaona mnakuwaga sahihi tu ..
Ila mwanamke akikosea unamwambia ukiwa kwa moment gan? Au unazani sisi ndo tunapenda mtukuchukulie kama watoto wadgo actually me hua sifugi ujinga na mtamue nafasi zenu mkubwa mungu tu unapenda kunyenyekewa utafikiri nyie ndo watoa pumzi ukitaka kitu bora anza kuwa bora wewe kwanza me naamin sisi wote ni binadamu hakuna mwenye haki hapa duniani maan tukijafanyaga wapole mnajifanya mabauza mwataka mtuburuze mtakavyo bro sio kwa Karne hii tuliyo nayo joo toafaut yetu na nyie Ni jinsia tu lakin lakn wote wale wale ata kubeba zege tunaweza yaan me ndo sinaga haraka kbisa ukinikosea nakuchana hapo unakula yako unaishia maan nyie vitu mnavyo vitaka kufanyiwa nyie hamuwezi kuvifanya sasa unazani ata ukinichit na michepuko kuna kitu mimi ninanipungua zaidi kujiongezea midhambi tu wala me sikomoleki ukinipenda nipende ukiona ufyuzi ishia dunia ndogo hii tusipeane tabumwanaume anapenda sana kukosolewa na kusahihishwa na mkewe bt tatizo nyie hamtumiagi njia nzuri, utakuta unaropoka tu as if unaemwambia ni mwanao na hapa ndo hua mnakwama wanawake wengi...
kama mwanaume kakosea angalia akiwa katika moment nzuri then mwambie kwa upole atakuelewa na ataomba samahan.
mwanamke ndo mhimili mkuu wa ndoa na wenye kulifaham hili ndo hudumisha ndoa, mwanamke yeyote anaetaka usawa na mwanaume kamwe hawez dumisha ndoa bt atakua mtu wa kuolewa daily na kuachika.Ila mwanamke akikosea unamwambia ukiwa kwa moment gan? Au unazani sisi ndo tunapenda mtukuchukulie kama watoto wadgo actually me hua sifugi ujinga na mtamue nafasi zenu mkubwa mungu tu unapenda kunyenyekewa utafikiri nyie ndo watoa pumzi ukitaka kitu bora anza kuwa bora wewe kwanza me naamin sisi wote ni binadamu hakuna mwenye haki hapa duniani maan tukijafanyaga wapole mnajifanya mabauza mwataka mtuburuze mtakavyo bro sio kwa Karne hii tuliyo nayo joo toafaut yetu na nyie Ni jinsia tu lakin lakn wote wale wale ata kubeba zege tunaweza yaan me ndo sinaga haraka kbisa ukinikosea nakuchana hapo unakula yako unaishia maan nyie vitu mnavyo vitaka kufanyiwa nyie hamuwezi kuvifanya...
Mmmm sizani ni uelewa tu wa mtu katika kumuelewa mwenzie alfu zamani ndo yalikuwepo hayo Mambo maan wanawake wa zamani walikuwa wa kukaa ty nyumban lakn siku hzi mtu anakazi yake ana biashara yake wala hawezi kuangaika na kiumbe kiitwacho mwnaume Mimi nimeolewa mwaka wa tano sasa na sijai kumcheat mume wangu lakn yeye wanawake ambao amesha tembea nao yutong inajaa na kusaza lkn Kati ya hao wote bado hajapata kama mimi na style yangu ndo hyo ukiniuzi sijuagi kunyenyekea nakuchana makavu maisha yanaendelea kaka kubali ukate tunako enda sasa ata heshima zenu zinashuka maan majukumu yenu mnayo yafanya ata mwnamke nawezamwanamke ndo mhimili mkuu wa ndoa na wenye kulifaham hili ndo hudumisha ndoa, mwanamke yeyote anaetaka usawa na mwanaume kamwe hawez dumisha ndoa bt atakua mtu wa kuolewa daily na kuachika.
heshima yetu haiwezi shuka ajili ya wanawake kufanya majukum ya wanaume coz kuna wanaume wengi tu wanafanya majukum ya wanawake bt heshima ya mwanamke bado ipo pale pale au hilo hujaliona?Mmmm sizani ni uelewa tu wa mtu katika kumuelewa mwenzie alfu zamani ndo yalikuwepo hayo Mambo maan wanawake wa zamani walikuwa wa kukaa ty nyumban lakn siku hzi mtu anakazi yake ana biashara yake wala hawezi kuangaika na kiumbe kiitwacho mwnaume Mimi nimeolewa mwaka wa tano sasa na sijai kumcheat mume wangu lakn yeye wanawake ambao amesha tembea nao yutong inajaa na kusaza lkn Kati ya hao wote bado hajapata kama mimi na style yangu ndo hyo ukiniuzi sijuagi kunyenyekea nakuchana makavu maisha yanaendelea kaka kubali ukate tunako enda sasa ata heshima zenu zinashuka maan majukumu yenu mnayo yafanya ata mwnamke naweza
H boy fundi nyi si hmjui hata kusak...mkirudi mama John geuka basi unapiga mbili za kibinafsi unalala.Natumai hamjambo wakuu.
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.
Kama ilivokawaida ya binadamu akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetani kampitia akaomba msamaha.
Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake huwa wanazijua wenyewe
wanawake mnatamaa sana.Swali
H boy fundi nyi si hmjui hata kusak...mkirudi mama John geuka basi unapiga mbili za kibinafsi unalala.
Tunaweza kuvumilia njaa ila sio njaaaaa!!