Wanawake acheni kujidhalilisha

Wanawake acheni kujidhalilisha

Angempa mtoto wa Bakhresa usingelalamika?

Hapa mada ilitakiwa kuwa usaliti haijalishi ni House boy au ni Diplomat.
 
Acha uboya wewe, kwani houseboy sio mtu acha dharau wewe,houseboy ni kazi tu kama kazi zingine. Nyie ndio mnaonyanyasa wafanyakazi wa nyumbani kisa standards.
Halafu aliyekudanganya mapenzi yanaangalia hadhi ni nani, demu wa Oysterbay anaweza akatoka kwao kwenye full AC kila mahali na akakimbilia kuishi manzese kwa msela tu wa geto mwenye kagodoro chini. Huyo jamaa hawezi mechi, mwanamke hata uumpe dunia kama kitandani huwezi kitu basi yeye ataishia tu kula pesa zako na kuzitumia kuwahonga wanaomkuna vizuri.
Wazi!
 
siyo mahouse boy wote wenye tabia kama hiyo, uhouse boy ni kazi kama kazi nyingine
 
Natumai hamjambo wakuu.

Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.

Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.

Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.

Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe
Kaka nimechelewa kutoa comment lakin sio kivile kabla sijajibu swali lako **** maswali yatakuwepo pia unijbu naanza hvi
[emoji117]Wanaume wanao tembea n ma house girl wanakosa nini kwa wake zao?? au ndo tuseme ujawahi sikia hzo hbari ndo Mara ya kwanza kusikia za mwanamke kutembea na house boy?
[emoji117]Huyo house boy unaye msemea sio binadamu? Na sisi mkituita wenye tamaa na nyie tuwaiteje?
Anyway nakupa sababu Ila kwa maelezo kwanza kabsa hakna mwanamke anaye cheat bila sasa ila nyie mnacheat kwa tamaa zenu u never no maan hyo mwnamke mpk kufikia kmcheat mume wake wake kuna sababu alafu nyie wnaume sijui ata amjiongezagi unakuta mtu yuko busy na michepuko akirudi kwa mkewe yuko hoi ata nguvu za kumuudumia mkewe hana kasha choshwa uko ata akijitaidi kumpa mkewe kuna matatu kwenda dakika 2 chali au kumpa alafu ashundwe ata kumaliza kwa mchoko sasa nikuulize kwa mtu Kama hyo utamsaidiaje leo wewe umeshangaa kutembea na house boy wakati wnatembeaga adi na mashemeji ata Mimi siwezi kuvumilia nikusubiri nyumban mpka saa 6,7 urudi umechoka na sio siku moja siku ukinipa nijute kwa nini bora ningeacha tu wakat house boy yupo hapo na hana mtu kbsa mtoto watu anakaa na ugwadu wa miaka ata kumpa nafasi akatembee munashindwa na wewe uko busy na michepuko wahi nisiudumiwe ili ukirudi umechoka na Mimi nimechok burudani hakuna kelele maisha yanasoma hyaan majibu ya maswali yko yako wazi kabsa achana na mtu anaitwa mwanamke bro ujatujua vizuri yaan ushenzi mnao fanya nyie sisi tunaweza mara [emoji817] ya nyie tena manasubiri sasa anavo sema bora angemcheat na mtu mwingine huo muda anautoa wap ukute ata kutoka nyumbn anazuiliwa alfu hvi nyie mnazani kumpa kila kitu mwanamke ndo kushika moyo wake niwaibie siri pesa si kila kitu kwanye moyo wa mwnamke
Mwanamke anaitaji umcare nikisema kucare simaanishi kumuudumia tu maan ndo mnajua tu ilo
Mwanamke anaitaji mapenzi tena ya dhati hakikisha analigundua ilo sijui utatumia njia gan lakin hakikisha mkeo najua kuwa unampenda Sana
Kuna wanauem ata kusifia wake zao hajawai anytime anamuona kma kaona sijui nini ata apendeze vip hawezi kumsifia alafu aunategemea nini unazani atatembea anende mashineni arudi bil kusifiwa? Yaan majukum unayo takiwa kuyafanya wewe anayafnya mtu mwingine kwa nini usinyang'anywe aiseee
Pia tumia muda mwingi kumsikiliza mkeo,usjifanye we ndo baba sasa ata ukikosea unataka yeye akuombe msamaha unafeli,ukiwa kazini mjulie hali yaan hakikisha utoi nafasi ya mtu mwingine kuyafanya hayo kwa mkeo Mimi haya nayo kwambia nina ushuhuda nayo alafu Ni mwanamke pekee naaye weza kuacha nyumba magari Mali zote ata uziandike kwa jina lake kama hauna kalama ya kumcare mkeo bro unaachwa utashngaa anaolewa na muuza miwa anakuacha wewe CO wa kampuni ebu jifunzeni bhna mengi mnayasabisha nyie nitarudi badaae na adisi ili yangu mwenyew ili mjifunze maan me ndo najuaga kuwanyoosha maan mwenzenu nisha mnyoosha stakagi ujinga unakaaa na mtoto mzuri unashindwa ata kumcare kazi kutamani tu uko maresi wigi wakat ata mkeo kipindi unamtongoza pengine alikuwa zaidi ya hao unao mfanyia nao dharau mfyuuuuuuuu[emoji57]
 
wanawake wa kibongo ni wachafu mno! asilimia 90 kama wana laana flani ya uzinzi na ukahaba!
Meza maneno yako wewe ilo jina mwanamke ndo limebeba sifa ya mtu anaitwa mama ako we unavo sema hvo je Kama na wew kupatikana mama ako alichepuka una uhakika gani Kama hyo unaye muita baba Ni baba ako halali acha ujinga alafu wanawake sio wazinzi Kama mlivo nyie kucheat kwa mwanamke nikutokana na upumbafu wenu mnao ufanya
 
linahbaby maelezo yako ni marefu bt hayana mantiki, wanawake wengi wakiwa katika ndoa huishi kwa mazoea tofauti na mwanzo na hiki ndo husababisha wanaume tuwachoke mapema...
 
linahbaby maelezo yako ni marefu bt hayana mantiki, wanawake wengi wakiwa katika ndoa huishi kwa mazoea tofauti na mwanzo na hiki ndo husababisha wanaume tuwachoke mapema...
Maybe lakin kwa sababu hyo hyo ndo inakufanya tufafute pa kujisaidia sasa ukimchoka mkeo hyo Ni ndoa gan sasa au mliapa kuwalisha watu walin hamkumaanisha miyoni mwenu mmmh ndoa hzi
 
Maybe lakin kwa sababu hyo hyo ndo inakufanya tufafute pa kujisaidia sasa ukimchoka mkeo hyo Ni ndoa gan sasa au mliapa kuwalisha watu walin hamkumaanisha miyoni mwenu mmmh ndoa hzi
wanaume tuna mambo mengi sana hivo mwanamke kama driver wa ndoa hapaswi kuishi kwa mazoea ndoani, mwanaume anahtaji faraja ya pekee anaporud hme coz kachoka pia kakutana na mengi sasa anaporud ukamchukulia poa unadhani atashughulika nawewe?

asilimia kubwa ndoa zinaharibiwa na wanawake na wala si mwanaume, ni nadra sana kuikuta ndoa inatetereka ikiwa ke amesimama imara kwa ndoa.
 
Nisibishe sana maan mara nyingi hamtakagi kukosolewa anytime mnaona mnakuwaga sahihi tu ..
 
Nisibishe sana maan mara nyingi hamtakagi kukosolewa anytime mnaona mnakuwaga sahihi tu ..
mwanaume anapenda sana kukosolewa na kusahihishwa na mkewe bt tatizo nyie hamtumiagi njia nzuri, utakuta unaropoka tu as if unaemwambia ni mwanao na hapa ndo hua mnakwama wanawake wengi...

kama mwanaume kakosea angalia akiwa katika moment nzuri then mwambie kwa upole atakuelewa na ataomba samahan.
 
Ila mwanamke akikosea unamwambia ukiwa kwa moment gan? Au unazani sisi ndo tunapenda mtukuchukulie kama watoto wadgo actually me hua sifugi ujinga na mtamue nafasi zenu mkubwa mungu tu unapenda kunyenyekewa utafikiri nyie ndo watoa pumzi ukitaka kitu bora anza kuwa bora wewe kwanza me naamin sisi wote ni binadamu hakuna mwenye haki hapa duniani maan tukijafanyaga wapole mnajifanya mabauza mwataka mtuburuze mtakavyo bro sio kwa Karne hii tuliyo nayo joo toafaut yetu na nyie Ni jinsia tu lakin lakn wote wale wale ata kubeba zege tunaweza yaan me ndo sinaga haraka kbisa ukinikosea nakuchana hapo unakula yako unaishia maan nyie vitu mnavyo vitaka kufanyiwa nyie hamuwezi kuvifanya sasa unazani ata ukinichit na michepuko kuna kitu mimi ninanipungua zaidi kujiongezea midhambi tu wala me sikomoleki ukinipenda nipende ukiona ufyuzi ishia dunia ndogo hii tusipeane tabu
 
Ila mwanamke akikosea unamwambia ukiwa kwa moment gan? Au unazani sisi ndo tunapenda mtukuchukulie kama watoto wadgo actually me hua sifugi ujinga na mtamue nafasi zenu mkubwa mungu tu unapenda kunyenyekewa utafikiri nyie ndo watoa pumzi ukitaka kitu bora anza kuwa bora wewe kwanza me naamin sisi wote ni binadamu hakuna mwenye haki hapa duniani maan tukijafanyaga wapole mnajifanya mabauza mwataka mtuburuze mtakavyo bro sio kwa Karne hii tuliyo nayo joo toafaut yetu na nyie Ni jinsia tu lakin lakn wote wale wale ata kubeba zege tunaweza yaan me ndo sinaga haraka kbisa ukinikosea nakuchana hapo unakula yako unaishia maan nyie vitu mnavyo vitaka kufanyiwa nyie hamuwezi kuvifanya...
mwanamke ndo mhimili mkuu wa ndoa na wenye kulifaham hili ndo hudumisha ndoa, mwanamke yeyote anaetaka usawa na mwanaume kamwe hawez dumisha ndoa bt atakua mtu wa kuolewa daily na kuachika.
 
mwanamke ndo mhimili mkuu wa ndoa na wenye kulifaham hili ndo hudumisha ndoa, mwanamke yeyote anaetaka usawa na mwanaume kamwe hawez dumisha ndoa bt atakua mtu wa kuolewa daily na kuachika.
Mmmm sizani ni uelewa tu wa mtu katika kumuelewa mwenzie alfu zamani ndo yalikuwepo hayo Mambo maan wanawake wa zamani walikuwa wa kukaa ty nyumban lakn siku hzi mtu anakazi yake ana biashara yake wala hawezi kuangaika na kiumbe kiitwacho mwnaume Mimi nimeolewa mwaka wa tano sasa na sijai kumcheat mume wangu lakn yeye wanawake ambao amesha tembea nao yutong inajaa na kusaza lkn Kati ya hao wote bado hajapata kama mimi na style yangu ndo hyo ukiniuzi sijuagi kunyenyekea nakuchana makavu maisha yanaendelea kaka kubali ukate tunako enda sasa ata heshima zenu zinashuka maan majukumu yenu mnayo yafanya ata mwnamke naweza
 
heshima yetu haiwezi shuka ajili ya wanawake kufanya majukum ya wanaume coz kuna wanaume wengi tu wanafanya majukum ya wanawake bt heshima ya mwanamke bado ipo pale pale au hilo hujaliona?
 
Swali
Natumai hamjambo wakuu.

Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.

Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.

Kama ilivokawaida ya binadamu akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetani kampitia akaomba msamaha.

Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake huwa wanazijua wenyewe
H boy fundi nyi si hmjui hata kusak...mkirudi mama John geuka basi unapiga mbili za kibinafsi unalala.
Tunaweza kuvumilia njaa ila sio njaaaaa!!
 
Back
Top Bottom