MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi.
Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana.
Unaweza fugwa usi olewe, ewe binti acha kula Cha mwanaume kama huna mpango nae