Wanawake acheni kula hela za wanaume ambao hamjawapenda

Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi.

Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana.

Unaweza fugwa usi olewe, ewe binti acha kula Cha mwanaume kama huna mpango nae
Make kwanza Nicheke....Hapo kn mtu kashakula NDOIGE..😎
 
Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi.

Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana.

Unaweza fugwa usi olewe, ewe binti acha kula Cha mwanaume kama huna mpango nae
........umeandika kwa kihisia kidogo mkuu.....kwani nini kimetokea....
 
Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi.

Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana.

Unaweza fugwa usi olewe, ewe binti acha kula Cha mwanaume kama huna mpango nae
UNANUNUA NYAMA NUSU, WANAKUFUNGIA KWENYE GAZETI LA MICHEZO KWASABABU UNALETA MCHEZO NA NYAMA[emoji419][emoji375][emoji41]
 
Back
Top Bottom