Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #61
Nan ataweza kuoa mtu ana mtoto tena baba yake yupo haihawa dada zetu wanapitia mgumu sana! Kuna huyu ananisalimia kila siku hapa offsin natamannimwambie napenda mishangazi! Asihangaike na mim ana mtoto na anataka kuolewa tena!.