Wanawake acheni kulazimisha ndoa

Wanawake acheni kulazimisha ndoa

Kabeba mimba bila kuniambia ananitishia kaka ake mkuu wa kituo
Nawee una uwezo wa kumpa mwanamke mimba? Achilia kumtia ukuni?

Ila mwachi acha kuchekesha waja, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawee una uwezo wa kumpa mwanamke mimba? Achilia kumtia ukuni?

Ila mwachi acha kuchekesha waja, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina baada ya kuniloga
 
Halafu wanaume tulivyokuwa wahuni tunaomba test drive(kupiga pumb…u) kwanza kabla ya kutoa ahadi ya ndoa😂😂. Na tukisha kula papuchi tunalala mbele tunatafuta mwengine na mwengine.
 
Dawa Wanaume waache kuingia kwenye mahusiano na wanawake ambao hawana mpango nao.
 
Chukua huyo binti weka ndani haraka..🤣

Unataka kumnyanyasa sababu ya mtoto na umri? Kula utamu kijana
 
Back
Top Bottom