Wanawake acheni kulazimisha ndoa

hawa dada zetu wanapitia mgumu sana! Kuna huyu ananisalimia kila siku hapa offsin natamannimwambie napenda mishangazi! Asihangaike na mim ana mtoto na anataka kuolewa tena!.
Nan ataweza kuoa mtu ana mtoto tena baba yake yupo hai
 
Kabeba mimba bila kuniambia ananitishia kaka ake mkuu wa kituo
Kwa nini huwa mnalala na wanawake bila kinga ila mkiambiwa habari za mimba mnakua wakali? Wenyewe mnasifia kavu tamu haya utamu wake ndio huo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…