GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi.
Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike au Ndugu zao wa Kike wanaowaleta kutoka Vijijini kuja kuishi nao Mjini.
GENTAMYCINE ambaye ni Mwanasaikolojia wa Kuzaliwa na Tajiri wa Maono, Hekima na Busara nimekuwa nikiombwa na Wahanga wa Janga hili katika Kutatua na nashukuru Mwenyezi Mungu nyingi ya Ndoa huwa Nazitatua japo Binafsi sijaoa na sioni dalili zozote za Mimi kuja Kuoa kwani Kesi za Kimahusiano za kila Siku ambazo huwa Nazisuluhisha zimeshaniathiri na sioni tena umuhimu wa Kuoa.
Tukio nililolitatua leo kiukweli limenifanya nikiri kuwa Wanaume si tu ni Wahuni, Wanyanyasaji, sometimes ni Wapumbavu na tuna Ukatili mwingi.
Hivi inawezekana vipi Mkeo kwa Roho yake tu ya Upendo kaamua Kuleta Wadogo zake / Ndugu zake Watatu kutoka Kijijini Kwao Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba waje Kwenu ( Mume na Mke ) ili aanze Kuwasaidia kwa Kuwasomesha na hata kuwatafutia Kazi halafu Wewe Mwanaume kwa Tamaa zako za Kishamba unaamua Kuwakaza ( Kutembea ) nao Wote Watatu tena katika Kitanda unacholala na Mkeo wa Ndoa?
Kwa kusema haya siyo kwamba GENTAMYCINE sikazi au sipendi Mbunye ( K ) tena hiyo ndiyo Starehe yangu Tukuka ikifuatiwa na kupenda Mziki na Mpira ila huwa nafanya huu Uhuni wangu kwa Staha ( kwa Kujiheshimu ) ndiyo maana hata ukija Kitaa ukisema Mimi ni Womanizer ( Mpenda Mbunye ) Watu si tu Watakushangaa kwa Kutokukuamini bali wanaweza hata Kukupopoa na Mawe na ukajuta Kunichafua Kipenzi chao GENTAMYCINE na Mbunge nisiye na Jimbo.
Narudi kwa nyie Wadogo na Ndugu za Wanawake walioolewa mliotoka Vijijini hivi Roho zenu huwa haziwaumi kuona kabisa Unamsaliti Dada yako aliyekuleta Kukusaidia na Maisha Magumu uliyokuwa ukiyapitia ulipokuwa Unateseka na Maisha huko Kijijini?
Ombi Kuu kwenu Wanawake wenye Ndoa zenu kwa hali ilivyo sasa nawashauri acheni kuleta Wadogo zenu / Ndugu zake Mjini ili mkae nao na muwasaidie Kimaisha bali kuanzia sasa anzeni Kuwasaidia wakiwa huko huko Vijijini na mkijafanya kuwa na Huruma nao sana na Kuwapenda mno na kuwaleta Makwenu Mjini wakija Kuvunja Ndoa zenu kwa Kukazwa ( Kutiwa ) na Waume / Mabwana zenu msije Kutuita akina GENTAMYCINE tuje Kuwasuluhisheni kwani mnatuchosha na kutusumbua kwa kutosikia Kwenu Ushauri.
Kuweni makini mno katika hili sawa?