Wanawake acheni kuleta Wadogo / Ndugu zenu wa Kike Majumbani mwenu, kwani Wanawavunjieni mno Ndoa zenu

Ili limekuwa janga la taifa kwakweli ukweli ni kwamba hawa ndugu wa wake zetu wakija wanakuwa na mitego ya kila aina kama mwanaume lijali huwezi kujizuia lazima upeleke moto vilivyo. Kingine wanaume tunaendeshwa na tamaa tu hakuna kingine
 
Mdogo wa girlfriend wangu alipogundua dadake ameenda chuo ikabidi ajenge mazoea ya kuja kwangu eti kunisaidia kufua na kupika kako f4 guess what alinitega mpaka nikaingia line kwa sasa ndo mpenzi wangu ila sasa ndo wamegombana hawaongei kabisa
Kwahiyo Mwenyewe unaona Sifaaaaaaaa......Bwege Wewe. Hukujiheshimu.
 
Kweli dunia uwanja wa fujo, kuna watu hili wanaona ni jambo la kawaida sana.
 
Shida sio wadogo zetu shida ni wanaume washenzi waso na haya wenye kutamani mashemeji zao na wadada wa Kazi kwa kweli hatuwezi kuacha ndugu zetu wasije kututembelea au wafanyakazi kutusaidia kisa kukosa heshima kwa mtu.
Alafu kushare de libolo wala kusiwakoseshe uzingizi vitu simple tuu
 
Aisee mm mwenyewe nishawahi kuwa na manzi anawadogo zake wakike wakali mmoja akawa anajilengesha sasa sikwambii ndo umeoa sasa inakuwaje.
Unapita nae tuu mzeya wanawake wamewekwa kwa ajili yetu tupate burudani jamni akijilengesha wewe gegeda tuu. Kwani mke akijua wats the worse that could happen? Afungishe virago wee unamuingiza dogo mtu chumbani mazima
 
Shida sio wadogo zetu shida ni wanaume washenzi waso na haya wenye kutamani mashemeji zao na wadada wa Kazi kwa kweli hatuwezi kuacha ndugu zetu wasije kututembelea au wafanyakazi kutusaidia kisa kukosa heshima kwa mtu.
Kwa sababu ni damu yako imekula chako inabidi uwe mvumilivu tu, hakuna namna.
 
Imagine mdogo mtu ni pisi kama wanafunzi wa Sudan walio hamishiwa mhimbili .... hataka ni wew utavunga kweli alafu zina ugwadu hawaja kandwa mda mrefu .... just imagine 😳
 
Hizo dhana za kujiendekeza eti mwanaume ni kiumbe dhaifu pelekeni hukooo. Yani niache kukaa na ndugu zangu kisa tamaa ya jitu. No way.. ndoa nimeikuta ukubwani, ndugu zangu nimezaliwa nao na nimekua nao so nawajua. Wengine wanafanya ushenzi na jirani, watu wa mtaani etc. ni hulka ya mtu tu. Akishindwa kumuheshimu mdogo wako basi atakamata hata panzi. Kama ndo alivyoumbwa basi laana yake imtafune maana ataweza hata kubaka mwanae! Tuache kuendekeza hii kitu ya kuutukuza uzinzi. Mwanaume jiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…