AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wale Wazuri Wazuri ndio wanatania yakuomba omba Sana, kwa kuwa ni mzuri anajua usipompa wewe wengine watampa, ni Wakala wa Kodi ya mapatoNaomba niwaase sana wanawake na mabinti wengine, kuingia kwenye mahusiano sio kibari cha wewe kua ombaomba. Muache mwanaume mwenyewe akupe atoe mwenyewe sio unalazimisha lazima upewe lazima upewe kwani wewe umekua nani ndani ya wiki 1 unalazimisha upewe pesa for what umefanya kazi gani?
Acha kabisa wanawake wa hivi ni wanaboa sana, sasa bora na yeye angeonyesha ushirikiano wanasema ...weka 500 niweke 500 iwe 1000, asiechangia kutia mkono marufuku.. sasa yeye hataki kuweka 500 ila anataka 1000.. unamuomba yeye kwamba emu nipe tag kitu fulani anachomoa mbaya hataki kabisa ila pesa anataka balaa tena katoa mimacho anataka pesa ya mwanaume bure bure kabisa wakati hio pesa kuna watu wanafanya kazi ya kusafisha vyoo na vioo ndio wanaipata yeye anataka bure, for what?Huyo hakupendi na hafai kuwa mwanamke wa malengo.
Kuna muda unawaza hivi huyu mtu kabla hatujajuana alikuwa anaishije?
Hupati hela kimseleleko hivyo hata usemeje hupati kitu halafu hio tafuta hela umekua msemo wa machokoTafuta pesa....utapunguza malalamiko
Ndio manzi ni kisu ila hii nigga haimpi hela mpaka anashangaa imekuaje hii jamaa haitoi hela?Wale Wazuri Wazuri ndio wanatania yakuomba omba Sana, kwa kuwa ni mzuri anajua usipompa wewe wengine watampa, ni Wakala wa Kodi ya mapato
Unataka hela ya kutumia au sio? HahahaRais wa omba omba nipo hapa.
Kiufupi hatuachi na hakuna atakayeacha kuomba hela.
Wewe umeombwa mara ngapi?Siku hizi hata wanaume wanaomba sana hela.
Kuna watu ni mizigo isiyobebeka na ukijichanganya ndio umejichimbia kaburiAcha kabisa wanawake wa hivi ni wanaboa sana, sasa bora na yeye angeonyesha ushirikiano wanasema ...weka 500 niweke 500 iwe 1000, asiechangia kutia mkono marufuku.. sasa yeye hataki kuweka 500 ila anataka 1000.. unamuomba yeye kwamba emu nipe tag kitu fulani anachomoa mbaya hataki kabisa ila pesa anataka balaa tena katoa mimacho anataka pesa ya mwanaume bure bure kabisa wakati hio pesa kuna watu wanafanya kazi ya kusafisha vyoo na vioo ndio wanaipata yeye anataka bure, for what?
Wakina Dotto Magari na MwinjakuSiku hizi hata wanaume wanaomba sana hela.
Ulimuomba tigo bila shaka ndio maana alikataa katakata.Nikamuomba kitu fulani kidogo sana na nilijua tu kabisa lazima atakataa eeh ikawa kweli akakataa katakata
Mbona wanachokusanya hakiendi serikalini?Wale Wazuri Wazuri ndio wanatania yakuomba omba Sana, kwa kuwa ni mzuri anajua usipompa wewe wengine watampa, ni Wakala wa Kodi ya mapato