Wanawake, acheni kuwa Ombaomba kwenye Mahusiano

Kwa batch ya wanawake wengi waliopo sahivi kuhusu suala la kuoa ni mwanaume umshirikishe Mungu au ubahatishe kupata a good woman, maana ukisema utafute supportive woman anaekupenda, utafika miaka 50 huna familia sababu kwa sasa almost wanawake wote wako kama huyo demu wa mtoa mada.

Kikubwa nachoona ni utoe hela uliyoombwa kama iko ndani ya uwezo wako, hasahasa kama ni bachela huna mtoto na unahitaji mtoto, honga akikukubali mzalishe uwe na lineage, uku moyoni ukijua huna life partner wala mke, bali una mzazi mwenzio
 
Wenzako wanayuchukulia mapenzi ni ajira.
Na usipokuwa mwamaume wa kumpa pesa basi jiandae kubandikwa majina mabaya ya kila namna (ie, bahili, dume suruali, goigoi, hujutambui, etc).
 
LINDA MFUKO WAKO
LINDA JASHO LAKO
LINDA NGUVU YAKO

Kama hujamwoa, ukitaka penzi mfanye kwa malipo au akutunuku pesa ukipenda utampa ya huduma kama mtu wako.
Na sio yey ndo atake huo ni utapeli
 
Afadhari uzi umetoka na mimi nitoe povu: ebanaa kuna bidada nilichukua namba nikawa nachart nae na nikamfungukia kuwa nimependa ulivo nataka tuweke mipango vizuri bidada. Ajabu bidada huyu sms na kupokea simu ni kwa mbinde, sasa nikapata akili zikanijia nikasema " lucy mtoto mzuri mimi kwa upendo wangu huu hadi zawadi ya thamani nimekuandalia" weeeeee. Kilichonikuta sasa nilipigiwa simu hizo nimetumiwa sms hizo! Hadi kero sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…