Wanawake acheni kuzaa na waume za watu ilihali waume zenu wapo

Literature has shown that and my research with world vision and USAID has clearly and categorically proved.
Its very clear
amin usiamini, maskini waliotajwa hapo juu (wa vijijin) wameridhika na hali zao, ispokuwa maskini wa mjini hao ndo nyoyo zao ziko juu juu! Shauri yako
 
Hili jina langu la namugari ni kwamba nilikuwa nachepuka na mwanamke mmoja ambayo baadae alita kuzaa na mm ili ambambikize mume wake ,nilikataa kata eti alifika mahali nae analia kbsa ndipo nilipojuinga jf nikaamua kutumia hili jina la mchepuko wangu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimependa ulivyokuja na matokeo ya utafiti wako kuhusu akina mama na michepuko.

Tafadhali endelea na utafiti wako ujaribu kuuliza kwa nini kila kundi linachepuka (yaani sababu zao). Unaweza kuta unakuja na majibu ya kushangaza kweli kweli au ambayo hukutarajia.

Ukimaliza kukusanya hizo taarifa nakushauri uandike kijitabu kidogo. Wallahi utakuwa umechangia pakubwa kwenye jamii kwani kuanza kujua sababu ya tukio ndiyo mwanzo wa kulitatua.
 
Kweli Kuna kitu nilisikia eti wakati ukiwa njaa unakua na nyege Sana kuliko wakati umeshiba ndio maana maskini huzaa watoto wengi.
Fikiria mazingira ya vijijini na hasa nyakati za jioni. Mpaka miaka ya hivi karibuni ni kwamba jua linapozama familia inaingia ndani nyumbani, hakuna TV wala entertainment yo yote ile kwa hivyo kilichobaki cha kufanya ni hicho tu.

Jengine linalochangia ni pombe za kienyeji na hasa kama siku kuna zile ngoma za vijijini ndiyo kabisa mambo hunoga na hapo ndiyo kamata twende.
 
Wanawake huchepuka sana tangu zamani.Nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao Kila mmoja alinieleza kuhusu dada yake aliyezaliwa kwenye ndoa ya mzee mwingine.Lakini ni jambo ambalo huwezi liongelea hovyo na ukibainika,mama mtu anaweza kukushitaki kwa wazee kwa kuvunja ndoa yake hata kama aliyeropoka ni mchepuko mwenyewe anashitakiwa mengine watajua mbele.Hadi Leo wale kina dada Wana wajukuu sijasikia vurugu yoyote.Ni kweli kama anavyosema mwandishi kina mama ndio wanaoharibu kwakutokutunza Siri.
 
Mwanamke anaezaa namchepuko anatakiwa apigwe mawe mpaka kufa

Kwasasa kuna wanawake wengi sana hasa hawa failures wanasema hawawez kuzaa na mwanaume mmoja ili kuepusha watoto wote wasije wakawa na mikosi ya familia ya mumewe kama ipo
 
Nitakuja na majibu soon
 
cutelove habari ya Mwanza?
 
Atakayemlaumu mwenzake kwa makosa ayatendayo kwaakili na ufahamu wake mwenyewe ni mjinga kabisa na hatumii hekima katika maisha yake. Fahamu hilo, nanakushauri usijitetee mbele ya Mungu kwamaneno hayo maana hayo majibu ndiyo yaliyotufikisha huku.
 
Duh heri wenye Moyo safi...........ana moyo sana huyo mwanaume

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Aisee kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…