Wanawake acheni njaa za kishamba

Wanawake acheni njaa za kishamba

Waawake pia sio wajinga...unakuta alikusoma tu kuanzia uandikaji wako wa texts hapa hakuna future...

Kwanini asijilie vya Bure?
Mzee baba uwajui vizuri wanawake vizuri au huna experience kubwa kwenye hili ndio maana unaongea hivyo kuna wanawake wapo vizuri na kuna wengine ni matapeli by nature hata uwe wa namna gani
 
We tulia ulikutana na jini maimuna, likajaribu kukufyonza damu.

Hizi kelele za mtandaoni haziwezi kuwarudisha kundini wale walioharibika, we saka aliyetulia jitulize nae.

Kuna wanawake wabovu na swaaafi.
Kuna wanaume miyeyusho na swafi.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Mbona siku hizi wanaume ndio wanapenda kitonga? Na siku hizi hata aibu hawana kabisa shenzy kabisa nina hasira na wewe baba O and M.
 
Jitahidi kutoa hela ambayo hata ukipoteza haikuumi..ona sasa unateseka..asilimia kubwa ya wanawake wa miji mikubwa ni matapeli na malaya..wanaoishi maisha ya aina hiyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom