Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Baba O amefanyaje tena 🤣Mbona siku hizi wanaume ndio wanapenda kitonga? Na siku hizi hata aibu hawana kabisa shenzy kabisa nina hasira na wewe baba O and M.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba O amefanyaje tena 🤣Mbona siku hizi wanaume ndio wanapenda kitonga? Na siku hizi hata aibu hawana kabisa shenzy kabisa nina hasira na wewe baba O and M.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waawake pia sio wajinga...unakuta alikusoma tu kuanzia uandikaji wako wa texts hapa hakuna future...
Kwanini asijilie vya Bure?
Mara tatu zote unatafuta nn oiga bao moja au mbili sepa mazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi ulikula mbususu?
Wanawake wee nikugegeda mara tatu na kusepa
Mapenzi bana. Umelalamikia mwanamke weeee,halafu mwishowe umerudi tena kwa mwanamke. Sa' ndio umefanya nini? 😂Habari ndugu zangu
Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi, nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe hela ya nauli yakuja nikampa 5k
Baada ya muda mrefu kupita nikaona kimya sana nikampigia simu demu akaniomba msamaha akasema alipata ajali ya boda boda mguu wake ukapata jeraha akaniomba kama hautajali naomba hela ya matibabu bila hiyana nikampa 30k.
Nikampa gape ya wiki moja ili apone au apate haueni niombe meet nyingine demu akakubali akaniomba hela ya nauli nikampa 4k na kweli demu akaja, nilimuita kwenye bar mmoja hiv ya hapa dar
Binafsi niliagiza soda maana mimi sio mnywaji wa pombe yeye siku hiyo alipiga wisk 1 na Bavaria 5 me nikapiga soda 2 tukala nyama choma na ndizi pamoja na yote haya niweza kuangalia miguu yake sikuona hata kovu lolote nikajua kabisa nilipigwa.
Demu akuwa na haya wala haiba ya kike aikuishia hapo akaniomba nimsaidie kiasi fulani chakumsaidia sister wake ambaye yupo mahututi kutokana na ile hali nikaona hapa huyu sio mwanamke wakuwa kwenye mahusiano nilikuwa nawazo la kumtongoza ila nikaghailisha badala yake nikaona nitengeneze Mazingira ya kupiga game siku hiyo hiyo tofauti na hapo atanisumbua sana.
Hivi hawa wanawake Nani kawaroga alafu unakuta wanalalamika oh vijana hawaoi sijui nini ndio maana wanazalishwa na kuachwa kwasababu wengi wao hawana sifa ya kuolewa
Ila nashukuru Mungu mwaka Jana nikapata mwanamke wa ndoto yangu ambaye nipo naye mpaka leo
Umefufuka!!Waawake pia sio wajinga...unakuta alikusoma tu kuanzia uandikaji wako wa texts hapa hakuna future...
Kwanini asijilie vya Bure?
Utakuwa unakutana na wa kufanana nawe.Wako wapi mbona siwaoni
Nipo mdogo wangu...naona umepata binti hopefully sio wa kuazima.Umefufuka!!
Acha kabisa sitaki kukumbukaBaba O amefanyaje tena 🤣
Mara tatu zote unatafuta nn oiga bao moja au mbili sepa mazima
Hizo mbili zingine sii unaanza kuchombeza fantasy zake mzeya...siku ya kwanza hawezi funguka fantasys zake mzeyaMara tatu zote unatafuta nn oiga bao moja au mbili sepa mazima
Mdogo wako!!! Dogo kuwa na adabu[emoji1787]Nipo mdogo wangu...naona umepata binti hopefully sio wa kuazima.
kwa hiyo akikutumia ujumbe amekufa anahitaji hela ya nini?Duh we jamaa unatuma hela mapema sana kabla hata ya kujuana na mtu duh, aisee we kiboko, madanga mengi mjini ndivyo yalivyo pesa mbele , usishangae hata siku moja akakutumia message kuwa amekufa wakati yeye ndio anakutumia ujumbe. Hawa viumbe ni shida sana.
😅😅😅😅 toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe,bwana anakuona mpaka moyon mwako🤗Habari ndugu zangu
Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi, nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe hela ya nauli yakuja nikampa 5k
Baada ya muda mrefu kupita nikaona kimya sana nikampigia simu demu akaniomba msamaha akasema alipata ajali ya boda boda mguu wake ukapata jeraha akaniomba kama hautajali naomba hela ya matibabu bila hiyana nikampa 30k.
Nikampa gape ya wiki moja ili apone au apate haueni niombe meet nyingine demu akakubali akaniomba hela ya nauli nikampa 4k na kweli demu akaja, nilimuita kwenye bar mmoja hiv ya hapa dar
Binafsi niliagiza soda maana mimi sio mnywaji wa pombe yeye siku hiyo alipiga wisk 1 na Bavaria 5 me nikapiga soda 2 tukala nyama choma na ndizi pamoja na yote haya niweza kuangalia miguu yake sikuona hata kovu lolote nikajua kabisa nilipigwa.
Demu akuwa na haya wala haiba ya kike aikuishia hapo akaniomba nimsaidie kiasi fulani chakumsaidia sister wake ambaye yupo mahututi kutokana na ile hali nikaona hapa huyu sio mwanamke wakuwa kwenye mahusiano nilikuwa nawazo la kumtongoza ila nikaghailisha badala yake nikaona nitengeneze Mazingira ya kupiga game siku hiyo hiyo tofauti na hapo atanisumbua sana.
Hivi hawa wanawake Nani kawaroga alafu unakuta wanalalamika oh vijana hawaoi sijui nini ndio maana wanazalishwa na kuachwa kwasababu wengi wao hawana sifa ya kuolewa
Ila nashukuru Mungu mwaka Jana nikapata mwanamke wa ndoto yangu ambaye nipo naye mpaka leo
@Depal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba O amefanyaje tena [emoji1787]