Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Wanakera et mtu anakuambia hajala utasema we ndo mama ntilieMi Kuna demu uwa ananiomba Hela kama ananidai😀😀na meseji za njaa mara Kwa mara kama mimi ndo babake
Natunza vbunda nikija kuoa uzeeni nispate shdaMnaunaume uko kwenye giving side, mwanamke receiving side..... tafta hela, MIZINGA HAIEPUKIKI...
Huyo unaye ishi naye kwanini isiwe ndoa?Natunza vbunda nikija kuoa uzeeni nispate shda
Charaza ndio nini?Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.
Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
una mpango wa kuoa?? nisikuone tena unasambaza kampeni ya #kataa ndoa mimi kama waziri mkuu nakuvua mamlaka.....Natunza vbunda nikija kuoa uzeeni nispate shda
Naogopa utapelHuyo unaye ishi naye kwanini isiwe ndoa?
Ntaoa nikiwa 80+ kutimiza wajibu wa diniuna mpango wa kuoa?? nisikuone tena unasambaza kampeni ya #kataa ndoa mimi kama waziri mkuu nakuvua mamlaka....
nisikuone....Ntaoa nikiwa 80+ kutimiza wajibu wa dini
Ndo dawa yaoMzee umetema yai kama una udugu na marehemu malkia elizaberth
😂🤣🤣🤣
Haaaaaaahnisikuone....
Mmbomatako yako [emoji2][emoji2][emoji2] hivi mnaandikaje sentensi hivyo
Alikuwa anakufukuza tu hapo usijipe kichwa wal humuhimuBwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.
Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin