Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.

Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
Hio ni falsafa ya MADEMU kama hakuitaji atakua anakuomba sana pesa...
 
Acha kujidhalilisha. Iko siku mkeo akikuimba hela ya kutumia nyumbani utaleta hapa. Mwanamke kutunzwa. Kuwa na njaa ni sehemu kutunzwa.
Ushasema mke mm sjaoa
Mm kataa ndoa
Natunza vbunda
Sipg kizembe kwa kigezo cha uanamke matunzo
Wajnga kama nyny ndo mnaoliwa
Sjamuanika hata jina wa picha yake haionekan
 
Acha kujidhalilisha. Iko siku mkeo akikuimba hela ya kutumia nyumbani utaleta hapa. Mwanamke kutunzwa. Kuwa na njaa ni sehemu kutunzwa.
Nikiona neno congo nakumbuka neno vumbi....
Ukichukia VUMBI + CONGO =VUMBI LA CONGO
😀😀😀🤓🤓🤓
 
Aisee hii dunia ina mengi ya kushangaza, wewe si ndio umetoka kuanzisha uzi unatamani kuwa lecturer? Na jinsia yako umetaja ni ke? Sasahivi umekuwa dume? Au jinsia yako inabadirika baada ya mda?
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.

Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
 
Aisee hii dunia ina mengi ya kushangaza, wewe si ndio umetoka kuanzisha uzi unatamani kuwa lecturer? Na jinsia yako umetaja ni ke? Sasahivi umekuwa dume? Au jinsia yako inabadirika baada ya mda?
Du kule nmesema mm jike?
Kwel Tanzania wajinga wengi
 
Back
Top Bottom