Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Kwa kweli amekuweza matako yako and ur broken english. Kama unaishi na mtu kilikupeleka nini kwenda kumchombeza huyo dada? Na nyie wanaume jiheshimuni. It’s that simple
 
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.

Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin

Wewe una matatizo makubwa kuliko yeye.

1.Umefuta namba yake.
2.Umemfuata fb, why? Ur weak.
3.Unamtukania nini sasa?
 
Kuna mtu alikuwa hivyoo nashida sana nikamwambia B na njaa sana akadai njoo nikulale ili nikupe hela nikasema poa naja , naalikuwa boy wangu Hana hata haya ila kwasababu aliniona taka taka nikasema ngoja nimkomeshe nikapitia Kwa rafiki yangu anikopeshe pesa ili niende hospitali just imagine unaumwa mtu wako anadai akulale Kwanza ndio akupe hitaji la moyo .,

Basi bwana Ile nimefikia maeneo ya kaloleni road Fulani gari ikatoa mwanga wawaah ni mkaka mwingine na demu wake wananiita nikasema what kumbe ni best yangu wazamani huyo bro tulisoma wote Moshi weh , nilifurahi basi akampeleka huyu mwanadada kwake wakaagana huwezi amini nilipata pesa siku hiyo nzuri tu na sio yeye kanipa pekee alinipeleka Kwa wenzake na wakanichangia na nikawa nahudhuria hospitali for check up hadi zile sehemu zikapona , na nilikipatia good friends na wanajali naninawajali , .

Wanaume wenye roho Mbaya acheni chakula kwani sh. Ngapi?? Mie mtu akinifuata ananjaa na ninaela namnunulia .

Sio lazima umdharau mtu kwakumlala na kumkomoa basi .
 
Lakin isiwe tabia
 
Annabelle!!!

IMG_0223.png
 
Mkuu hiyo chat ni kama hakua interested ndiyo maana alivyoona unazidi kuchat akaomba hela kiaina.....sometimes wanawake huomba hela ikiwa ni njia ya kukata mazoea/mawasiliano, another thing kama unamheshimu uliye nae sasa huyo x wa nini tena[emoji1787]
 
Mi Kuna demu uwa ananiomba Hela kama ananidai[emoji3][emoji3]na meseji za njaa mara Kwa mara kama mimi ndo babake
Huyu ex wangu kabisa. Wakati wengine wakikutana na ma ex zao wanapasha viporo lakini kwangu imekuwa tofauti kabisa mizinga kila leo!
 
Kuna mtu alikuwa hivyoo nashida sana nikamwambia B na njaa sana akadai njoo nikulale ili nikupe hela nikasema poa naja , naalikuwa boy wangu Hana hata haya ila kwasababu aliniona taka taka nikasema ngoja nimkomeshe nikapitia Kwa rafiki yangu anikopeshe pesa ili niende hospitali just imagine unaumwa mtu wako anadai akulale Kwanza ndio akupe hitaji la moyo .,

Basi bwana Ile nimefikia maeneo ya kaloleni road Fulani gari ikatoa mwanga wawaah ni mkaka mwingine na demu wake wananiita nikasema what kumbe ni best yangu wazamani huyo bro tulisoma wote Moshi weh , nilifurahi basi akampeleka huyu mwanadada kwake wakaagana huwezi amini nilipata pesa siku hiyo nzuri tu na sio yeye kanipa pekee alinipeleka Kwa wenzake na wakanichangia na nikawa nahudhuria hospitali for check up hadi zile sehemu zikapona , na nilikipatia good friends na wanajali naninawajali , .

Wanaume wenye roho Mbaya acheni chakula kwani sh. Ngapi?? Mie mtu akinifuata ananjaa na ninaela namnunulia .

Sio lazima umdharau mtu kwakumlala na kumkomoa basi .
sasa ni ngumu kutambua muda wa ishu serious, kwasababu mizinga ni mingi tunaona kama tunachunwa.....
 
asa kilichokufanya umtafute nini🙄🙄, ila watu wengine hovyooo😏😏😏
 
Back
Top Bottom