Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #101
Kuna mesej huko juu nyng tu katoa maelezo sema znafichwa messengerKuna kosa kubwa umefanya mkuu nimeona hapo kwenye mazungumzo yenu reduce the length of your texts, and you’ll look much less desperate
Ndio ipo hivyoMchambuz wa mapenz
NakaziaKuna kosa kubwa umefanya mkuu nimeona hapo kwenye mazungumzo yenu reduce the length of your texts, and you’ll look much less desperate
Halaf nishasema ni ex kwamawazo yako atanipendaNdio ipo hivyo
yes wa kukupenda atakupenda na kukuheshimu hata kama haiwezekani kuwa pamoja, bado unampenda ndio maana ukamtafuta ila kwa hiyo short response hukupaswa kuendelea kumchatisha. Mpaka anakutusi mkuu?Halaf nishasema ni ex kwamawazo yako atanipenda
Tuseme kwelyes wa kukupenda atakupenda na kukuheshimu hata kama haiwezekani kuwa pamoja, bado unampenda ndio maana ukamtafuta ila kwa hiyo short response hukupaswa kuendelea kumchatisha. Mpaka anakutusi mkuu?
Mie niliwahi saidia mtu ila ndio hivyo akaona mwinginemwanamke kumsaidia mwanaume?? sijawahi ona....
pole sana.... unaonekana unapitia mapito magumu...Mie niliwahi saidia mtu ila ndio hivyo akaona mwingine
🙄 yakweli hayo?Mie niliwahi saidia mtu ila ndio hivyo akaona mwingine
Giving side ya nyoko😀😀hawajui ata kula na kipofuMnaunaume uko kwenye giving side, mwanamke receiving side..... tafta hela, MIZINGA HAIEPUKIKI...
hauwezi ukawa kwenye mahusiano serious na mwanamke usile mizinga....Giving side ya nyoko😀😀hawajui ata kula na kipofu
Kweli kabisa mkuu wanawake wanapenda kupewa hata Mimi Huwa najiskia raha kumpa mwanamke nikiwa nacho na kuona aibu anapotaka kunipa labda Hela.Mnaunaume uko kwenye giving side, mwanamke receiving side..... tafta hela, MIZINGA HAIEPUKIKI...
wewe ni mwanaume rijali. Jipongeze.....Kweli kabisa mkuu wanawake wanapenda kupewa hata Mimi Huwa najiskia raha kumpa mwanamke nikiwa nacho na kuona aibu anapotaka kunipa labda Hela.
mapro mmeucheza huo mchezo zamani sana.... 😂Alikuwa hakutaki bhana 😀😀
😀😀😀mapro mmeucheza huo mchezo zamani sana.... 😂
Yes,bro🙄 yakweli hayo?
Naona unaniandamamapro mmeucheza huo mchezo zamani sana.... 😂
Hata ras simba na formula zake hakuna mwanafunzi wake anaweza tema yai kama hili..😂🤣Si mchezo yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]