Wanawake acheni.

Leon jeaph

Member
Joined
Mar 9, 2019
Posts
88
Reaction score
82
Habarini wandugu,

Suala la mapenzi kinyume na maumbile ni jambo la kufurahisha kwa wapuuzi ila ni jambo hatari sana kwa afya kwani hii hupelekea mwanamke kupata madhara ambayo hayatibiki.k

Kitendo hicho huharibu kuta(muscle) za mkundu hali ambayo husababisha mama kutoa kinyesi muda wowote na pia wakati wakujifungua hutoa kinyesi kingi mnoo mpaka inamletea kupoteza nguvu,pia husababisha mwanamke kuwa na harufu mbaya hasa muda wa joto kuzidi,uharibu mawazo na kufanya awaze ngono kuliko kingine,hupelekea infection,hupelekea kutoka nyama mkunduni,huchangia kwa na shape legevu.

Pia wanaume hupata madhara mengi kama infection,kuziba mkojo,kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa njia ya kawaida,kupoteza hisia za uanaume na mwisho huleta dhambi.

Karibuni pm kwa matibabu kama umekuwa affected pia kwa ushauri ili uache.

Asanteni
 
Ndio njia hiyo we ulitumia na mpenz wako mkaacha?!
 
Mkuu, kumbe kujizungusha kote huku.... Ulikua unatangaza biashara...
 
Hahahahaaa mtoa post umefirimbwa nini?? Pole sana mkuu
No nimeona Sana'a uku jf watu wanashinikiza sana hiyo ngono ila Mimi nakutana sana na hizi kesi na tunapata tabu kuwahudumia hawa kinadada/mama.....bora ninywe maji kuliko huo upuuzi
 
Weka wazi usaidie waathirika sio mpaka pm,kama una fanya biashara ya tiba mbadara weka wazi utambulike,, au huna kitambulisho cha kurusu kufanya biashara hadharani mpaka ujifiche huko private message
 
Kamchezo aka kanaonekana katamu sana mpaka watu wametafuta fursa za kutibu hatari fire
 
Hauja kosea, nkweli sina pesa ya kukukipa Boss.
Na kama basi hiyo tiba unaitoa bure, kwanini usiweke maelezo hapa ili wenye uhitaji wajitibie...!!??
Na unapo wahitaji wenye shida huko PM, nini lengo lako hasa....!!??
Basi ili urahisishe, Fanya kuweka mawasiliano yako hapa wazi ili uweze kuwasaidia wenye uhitaji kiroho sayona
Wala huna pesa ya kunilipa Mimi wala Tina yake hahitaji pesa.....acha ulimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…