Wanawake acheni.

Mkuu, kumbe kujizungusha kote huku.... Ulikua unatangaza biashara...
Weka wazi usaidie waathirika sio mpaka pm,kama una fanya biashara ya tiba mbadara weka wazi utambulike,, au huna kitambulisho cha kurusu kufanya biashara hadharani mpaka ujifiche huko private message
Not like that kila MTU anatibika kutokana na madhara alionayo sasa cwezi anfika gazeti xima
 
Yoyote mwenye tatizo hatachangia chochote na kama ni dawa atanunua uko aliko pia siwezi toa no zangu hapa wengine hawanashida ila watadumbua tuu...ukija ukatozwa hela kashtaki popote...
 

Kwa madhara haya nayosoma hapa inamaana wengine hawayaoni au wanajitoa ufahamu[emoji848]ongezeko la michezo hii kwa KE na ME ni jingi
 
Yapo mengi mno tena Sana'a mengine huwezi sema wapo wanaovaa ile mipampasi mikubwa sababu hawawezi kuzuia haja kubwa ikija

Lakini hii inategemeana na mara ngapi umefanya au hata mara moja tu maana wengine mbona hawatoi mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…