Habarini wandugu,swala la mapenzi kinyume na maambile ni jambo la kufurahisha kwa wapuuzi ila ni jambo hatari sana kwa afya kwani hii hupelekea mwanamke kupata madhara ambayo hayatibiki.kitendo hicho huharibu kuta(muscle) za mkundu hali ambayo husababisha mama kutoa kinyesi muda wowote na pia wakati wakujifungua hutoa kinyesi kingi mnoo mpaka inamletea kupoteza nguvu,pia husababisha mwanamke kuwa na harufu mbaya hasa muda wa juto kuzidi,huharibu mawazo na kufanya awaze ngono kuliko kingine,hupelekea infection,hupelekea kutoka nyama mkunduni,huchangia kwa na shapelegevu.pia wanaume hupata madhara mengi kama infection,kuziba mkojo,kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa njia ya kawaida,kupoteza hisia za uanaume na mwisho huleta dhambi....karibuni pm kwa matibabu kama umekua affected pia kwa ushauri ili uache....asanten