Wanawake acheni.


Mkuu utakua mtumiaji wewe ndomana unatafuta justificatio ya maandiko kwenye vitabu vya dini
 
Inavyoonekana rate ya wadada wanaofanywa nyuma ni kubwa lakini mbona hatuoni wakijinyea huku mtaani?? Au hilo la haja kutoka ni uzushi.
 
Ila biblia haijasema kama tigo kati ya mwanaume na mwanamke imekatazwa, sasa tunajuaje ni dhambi???
Na tunajuaje kunyonyana uchi si dhambi...
Au tunajipangia wenyewe
Je anayefanya mapenzi ya namna hii atauridhi uzima? Imeandikwa, 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

Kama watenda dhambi wengine wanao fanya mapenzi ya namna hii wameitwa kutubu dhambi zao. Imeandikwa, 1Timotheo 1:10-11 "Na wazinzi, na wafiraji, na waibao watu, na waongo nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana mafundisho yenye uzima, kama vile ilivyo nenwa katika habari njema ya utukufu wa Mungu ahidimiwaye, niliyowekewa amana."
 
Mwili ni wako...hakuna anayepelekea,ni wewe unaamua ufanye ama usifanye

Hakuna wa kulaumu zaidi ya wewe mwenyewe

Kuna wachache wanasemaga “umenilazimisha mi nilikuwa hata staki” labda ndio alikuwa akiwasemea hao
 
Sasa hii logic inatokana na nini, una ni attack mimi baada ya ku attack hoja iliyoko mezani
Mkuu utakua mtumiaji wewe ndomana unatafuta justificatio ya maandiko kwenye vitabu vya dini
 
swala la mwanamke kuto kinyesi wakati wa kujifungua, lilishatolewa maelezo na madaktari kuwa halina uhusino na anal sex na kwamba ni kawaida, kitu ambacho si kawaida ni kutoa haja kubwa sehemu ya haja ndogo ama kutoa haja bila breki na tatizo hilo huitwa fistula na lina sababu

acheni kusambaza uwongo, mnawapa tabu watu wanaopata matatizo wakati wa kujifungua kwa kuwatia aibu kuwa wanaengage in anal sex kumbe sivyo bali ni fistula ama ni moja kati ya complication za uzazi

na mara nyingi watoa hoja hizi za kuharisha muda wa kujifungua, huwa ni sisi watu wa kiumeni, na nimeona wengi wanaongelea anal sex

sio kuwa hawapeendi hicho kitu ila ni mafetishi tu, kuna mijitu ikitoa hoja kama hizi na kuongelea huwa inadindisha miboro, yani in short kwao hii ni sehemu ya porno,

yani wako tayari kuongea stori zakizushi za vijiweni kujisisimua humu mbele ya kadamnasi pambavu zenu
 
Hapa wafiraji wanaamanisha wanafanya mapenzi ya jinsia moja
Biblia ilitasifiriwa kutoka kigriki na kihebrania
Translation ya English hapo kwa mfiraji imeandikwa homosexuality(mapenz ya jinsia moja)

1 Timothy 1:10 New International Version (NIV)
for the sexually immoral, for those practicing homosexuality, for slave traders and liars and perjurers—and for whatever else is contrary to the sound doctrine

1Corinthians 6:9
Or do you not know that the unrighteous will not inherit the kingdom of God? Do not be deceived neither the sexually immoral, nor idolaters, nor adulterers, nor men who practice homosexuality,
10 nor thieves, nor the greedy, nor drunkards, nor revilers, nor swindlers will inherit the kingdom of God.
 
Yes legally you are attacking my character, not arguing/kubishana na the points nilizo toa..

Feeling attacked on open issues like this got me question your character anyways tufanye umeshinda mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kama mkuu anafeel attacked utajifunza nini
Wewe huleti hoja, unasema mimi natumia ndo maana natoa justification, hii ni nini kama sio attack on character, wasomi wanaita hii "Ad hominem" a logical fallacy of attacking the character instead of engaging with the topic of the argument
Mi sijatoa justification, nimeomba jibu ni wapi kwenye maandiko wamekataza mwanamke na mwanaume kula 0713 ukiacha sheria za nchi, tunajua mapenzi ya jinsia moja yamekatazwa kwenye vifungu vingi tu, je hili?
Ningependa hata kujua Mila na desturi ya makabila yetu kama yamekatazwa maana customary laws zetu pia zinaweza kuwa msaada
PS. We are all learning here
 

Relax mkuu its not a fight ni kueleweshana tu maybe sijakuridhisha na majibu yangu ngoja wengine waje....
Note:si kila katazo lazima liwe na bandiko mengine madhara yake tu ni katazo tosha
 
Relax mkuu its not a fight ni kueleweshana tu maybe sijakuridhisha na majibu yangu ngoja wengine waje....
Note:si kila katazo lazima liwe na bandiko mengine madhara yake tu ni katazo tosha
Sijasema it's a fight, tunaeleweshana nimekuelewesha logically ulipokosea..
Ni kweli majibu yako hajaridhisha kwasababu hajalenga maswali niliyouliza..
Kifungu hukunipa, imenipa vifungu vya topic tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…