feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,771
Umefikaje kwenye hili jibu kwamba kisa mungu alikataza mwanaume basi mwanaume ndo alianzisha.. Labda wanawake walikuwa wanafanya kabla ila hakuona shida,(ndio maana hakuna sehem iliyoandikwa)
Lakini walizofanya wanaume kwa wanaume ikawa chukizo ndo maana imeandikwa..
Unaonaje hapo... Mi sibishi nataka mawazo tu mchanganuo
Mkuu utakua mtumiaji wewe ndomana unatafuta justificatio ya maandiko kwenye vitabu vya dini