Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Sasa hapo unachoshangaa kikubwa ni nini? Wewe uliemtafuna unajiona uko sawa ila yeye unamshangaa.

Mafurushi.
Tulizana nawe! Hio ndio AstraZeneca ya wanawake wasiojielewa
 
Si ndo zenu mnajiita mabaharia, kuwa umkomoe kumbe mtu anajikomoa mwnyw
Sasa aliejikomoa mwenyewe ni nani? Katika hio scenario huoni kuwa huyo mjinga mwenzenu ndie loser!
 
Hakuna alieumbiwa shida braza! Hata sisi wanaume ni hivyo hivyo ila tunatumia akili zetu vyema kuliko jinsia pinzani!

La sivyo ingekuwa shida zikizidi unaenda f**wa ili utatuliwe shida zako.

Wao wengi wametanguliza uchi mbele kama kigezo cha kufanikisha malengo yao au kutatuliwa shida zao. Wachache who think like man wanajishugulisha.
 
Kama aliona amepata mimba ya mtu mwngne, bs angesimamia msimamo wake tu kuwa hamtaki .
Ni vibaya kukataa offer ya mbususu tena ya free boat namna hio sababu lengo pia ni kukuonesha kuwa wewe ni mpuuzi tu! Kwahio unatafunwa na kutoswa ili ikuume kama jinsi ambavyo ilimuuma yeye kipindi unamtesa na hawara wako aliokupa mimba!
 
Wanawake n washenz mno,akil zao n kama za kuku huwa hawakumbuk yalyopita
 
Una uhakika?
Samahan lakin kuna muda wanawake wanakera sana,ngoja nkupe mifano:-
1.mwanamke anaondoka anabeba kila kitu,yakmshinda huko anarud tena kwa ubabe na mtoto kazaa huko nje na akrud anaanza kukuvuruga na kuwafanyia fujo ambao uliwah kuwa na mahusiano nao labda kwa huo muda ambao hakuwepo kuna watoto ulizaa,lakin akrud hatak hata uwahudumie,wakat huo yey kaja na mtoto aliemzaa huko,huu n mfano halisi ambao umemtokea jilani yangu.
 
Kifupi ni kuwa,tunapaswa kuishi nao kwa akili sana,usipotumia akili yako vizuri ni lazima utayumba na hasa kama haumshirikishi Mungu ili akupe hekima ya kuishi nao....
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wahuni walisema Ukipata chance usisahau kumuumiza Mwanamke
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa hapo unachoshangaa kikubwa ni nini? Wewe uliemtafuna unajiona uko sawa ila yeye unamshangaa.

Mafurushi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] spy sometimes tuwe wa-wazi Dada kazingua aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…