Wanawake ambao hawajaolewa huwa na hasira/frustration?

Wanawake ambao hawajaolewa huwa na hasira/frustration?

Kuukumbatia mbuyu ni kazi sana
bora wauzunguke zunguke tu hivi

lakini ukweli ni 120% hapa

Somehow i find it true ingawa sio kwa wanawake wote i've seen a few of them with such attitude..
 
Hasira inachagiwa na mambo mengi na hilo ulilolisema linachangia pia. Na si kwa ambao hawajaolewa tu hata wale walioolewa na mambo ya sita kwa sita yanaleta shida. Kwa kiswahili hiyo kitu inaitwa kisirani.
 
kweli kabisa,i know afew of them...yaani full fustration halafu wakishagonga 30s no one is interested in them so wanatuliza maumivu kwa kuwa wakali...
 
Ni kweli kabisa, most of them wana stress halaf bila wao wenyewe kujua, me nshaconclude iyo kitu ni basic need
 
Ni nini kunasababisha kingine? Je ni hasira/frustration ndio zinasababisha wasiolewe au ni kutoolewa ndio kunasababisha hasira/frustration? Nashauri ufanye utafiti zaidi ili tuchangie tukiwa na taarifa sahihi.
 
kutoolewa ndo kunasababisha hasira' ni kama simba aliyejeruhiwa wanakosa utu kwa sababu hawana wapenzi au watoto wa kuwapenda.
 
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema

Its true! Nmeshuhudia hlo, nlishawah kupgwa biti na masista fulan nlokua nasoma nao chuo, kua nawah kuoa, kpnd hcho ndo nlikua natangaza uchumba! Wale masista walkua against sn na mim, nlikuja kugundua kua all are aged, so they fil so bad kuona the young lyk m naoa, af namwoa binti mdogo 23yrs compard 2them 30+ wapo tu! Na mara nyng wa2 wa hv hawafai ktk kushaur juu ya kuoa au kuolewa! They r mor interested kuskia news za kuvunjka ndoa or any relation inayolenga kuoana!
 
Ni kweli hata wale walioolewa na hawakubahatika kuwa na watoto tabia ni ile ile.
 
mamie ucjb kwa hasira hali ni hiyo, kwan ww una age gan............. nway ngoja ugonge 30s uko ndio utajua tena especially 35 and above afu upande wa pili hauelewek hakuna kina mzabzab, excellent wala the boss lazima macho yakutoke.
kibaya unakuwa hujijui kuwa uko ivo lol yan m2 wa hasira na stress.

sina haja ya kukwambia umri wangu ...
Nimeridhika na maisha nliyonayo kupita kiasi..

Acha kukrupuka na kudhani unajua maisha ya watu..
 
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema

si marazote wadada wa namna hii hua katika hali ya hasira,
hua kuna factor kadha zinazo wapa hasira au ghadhabu kwa mfano:-
1]mazingira anayo ishi mtaani au ofisini hua wanamchukuliaje. Je humdharau, kusemasema au kumcheka kwa kutoolewa.

2]kama wavulana alobahatika kua nao wote walimchezea na kumwacha mpaka umri huo akabaki bila hata mmoja.

3]pengine aina ya mvulana alo mtarajia hajampata na hakuna dalili za kumpata. ..N.k

so kwa sababu hizo hapo juu na nyinginezo ,zaweza mpa hasira na frastresion
 
Back
Top Bottom