Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
I see kweli utakosa mme wa pili kukuchumbia tena
Kwani nimesema natafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see kweli utakosa mme wa pili kukuchumbia tena
Somehow i find it true ingawa sio kwa wanawake wote i've seen a few of them with such attitude..
Kwani nimesema natafuta?
Povu lako linaonyesha watu tunasoma katikati ya mistari.
acheni bifu bana..... au ndo ana ana anado
Ni nini kunasababisha kingine? Je ni hasira/frustration ndio zinasababisha wasiolewe au ni kutoolewa ndio kunasababisha hasira/frustration? Nashauri ufanye utafiti zaidi ili tuchangie tukiwa na taarifa sahihi.
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema
mamie ucjb kwa hasira hali ni hiyo, kwan ww una age gan............. nway ngoja ugonge 30s uko ndio utajua tena especially 35 and above afu upande wa pili hauelewek hakuna kina mzabzab, excellent wala the boss lazima macho yakutoke.
kibaya unakuwa hujijui kuwa uko ivo lol yan m2 wa hasira na stress.
Sema ukweli wewe umeolewa?
shusha pumzi aisee
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema
sioni thamani ya ndoa..