Wanawake ambao ukikutana nao, hutakiwi kutongoza, ila ukimkuta wewe shika mkono muende zenu

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Hahahahaaa

Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha kufanya ni kushika mkono, mnapitia Condom kwa Mangi, huyoo mnatoboa mpaka geto.

Ifuatayo ni list ya aina za hawa mademu

1) Wale wanaovaa sketi za aina hii

nguva.JPG

Hawa ndo wanaongoza, we usiulize mara mbili, shika mkono, pitia condom, nenda kagegede. Ukimuonea huruma sana sana, labda umpe salamu !!!!!

2) Amevaa kikobasi cha manyoya, na suruali imeishia kwenye ugoko. Shika mkono --> Pitia Condom --> nenda kagegede.

3) Anayechanganya matumizi ya 'R' na 'L'.. Hapa inashauriwa kuanza na salamu, kushika mkono, kupitia Condom, nenda kagegede.

4) Anayevaa T-Shirt ndefu inafika mpaka kwenye magoti.. Anza na salamu, shika mkono muende zenu.

Ongezeni wengine jamani.

Kwanza tunajikinga na Corona, mda wa kutongoza unatoka wapi? Tupeane maujanja
 
Hahahahaaa!!

View attachment 1723784

Hahaha nimecheka sana ingawa sina uhakika kama andiko lako lina ukweli, hebu tujaribu kuwapa heshima hawa wanawake
 
Unaweza ukawa sahihi kulingana na mitazamo yako na mazingira uliyokulia kwa kuwa mazingira ndio yanamshape mtu na kumpa mtazamo juu ya ulimwengu....Lakini pia unapaswa kujua kuwa mazingira yako hayaamui utashi na maoni ya wengine waliokulia kwenye mazingira tofauti na wewe......

Mtoto aliyekulia kwenye mazingira ya uwanja wa fisi atakuwa akijua kuwa wanawake wote ni machangudoa lakini hapaswi kuubeba mtazamo huo kwenye mazingira ya watu wengine........

Mwanadamu anatakiwa kuishi kulingana na nyakati na sio kanuni.....
 
Back
Top Bottom