Wanawake ambao ukikutana nao, hutakiwi kutongoza, ila ukimkuta wewe shika mkono muende zenu

5). Mwenye tattoo..
Shika tu mkono, ila kumbuka kuvaa condom angalau 3
 
Kama anapenda ku post picha zake mitandaoni.. shika mkono, vaa kondomu 6
 
Ukikutana na binti akakueleza siwaamini wanaume wameniumiza sana piga ngwala ya kizee inaitwa mjeki peleka kamfariji chumbani
 
Uzo mtamu endeleeni wazee, hasa wale mnaombatanisha na picha mnidai walau tips zenu
 
akiweka bleach kichwani, shika mkono > pitia kondom ya kwanza > pitia kondom ya pili > pitia kondom ya tatu > kagegede

akitoboa kipini puani, shika mkono > pitia kondom ya kwanza > pitia kondom ya pili > pitia kondom ya tatu > kagegede

ana tattoo, shika mkono > pitia kondom ya kwanza > pitia kondom ya pili > pitia kondom ya tatu > kagegede

akiwa na kichupa cha coconut oil kwenye pochi, shika mkono > pitia kondom ya kwanza > pitia kondom ya pili > pitia kondom ya tatu > kagegede

NB: izo ndom vaa zote kwa pamoja
 
Mkuu naomba habari za hawa hapa, kidogo wamejaa huku mitaa yetu.
1. Wanaochomekea dela kwenye chupi.
2. Wanaovaa skintight inapita dela.
3. Wanaotembea na kuliza sandals kwa kuburuza.


Natanguliza shukrani
Kwenye bra hawachomokei
 
Wenye visendo vya hivi, chukua namba, ita room, vaa condom zote zile tatu kwa pamoja
 

Attachments

  • FB_IMG_1615655943508.jpg
    38.5 KB · Views: 13
Ifike mahali tuwaheshimu kwanza Hawa wenzetu nao watajiheshimu.

Kama usemi usemao nyuma ya mafanikio ya mwaume Kuna mwanamke, na kadhalika nyuma ya anguko la mwanamke yupo mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…