kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.
Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.
Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza. Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?
Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.
Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.
Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu, kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98. Usumbufu ulikuwa ule wa live. Huyu jamaa alikuwa shoga.
Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai.
Samahani mimi sio mwandishi mzuri.