Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii mbona kawaida siku hizi, mimi imewahi kunitokea mara mbili . Mhindi mmoja ameniomba nimfanye kinyume na maumbile nikamwambia NO. Ila juzi kanitumie -Happy Valentine's Day Cowman-
Ungemlia hela na kinywaji kwanza.
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Kuna part2 tuisubiri?
 
Nilikua Arusha.., nimeingia Triple six kusakata raha..
Nimekaa ktk kona moja nawinda kwa macho nione mtoto mzuri nimsalindie.., hamadi nasikia mkono unanipapasa mbele hapa ktk zipu ya jeans yangu... Nikapata matumaini, hapa na mie kumbe nimedondokewa na zali la mentali..

Kutazama mkono unatokea wapi ..., lahaulaaa... [emoji134] , toba yailahi.., kijana shombe shombe ananitazama kwa matamanio huku akijing'ata ng'ata vidole...
Kilinitoka kibao hicho..., na raha zote ziliishia pale pale..!

Hiyo ilikua ni mara ya pili kutokewa na shoga.., hapa Dar yalishanikuta pia.

Kwa kweli kutokewa na shoga inafedhehesha sana..!
Dah mkuu nikikumbuka shoga moja lilivyonisumbua nafafhaika sana....nilitamani kumuua
 
Mimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Yaani wewe ni ni rungu kwani sio KIBOKO TENA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu hawa watu ni ving'ang'anizi yaan hata ukimkataa atapigana hadi siku ya mwisho, ila wanakera imagine mwanaume mwenzio anakutumie text ''I LOVE U COWMAN, I PROMISE TO OFFER WHAT YOUR GIRL CAN'T" .Jamaa anakutafuta kila baada ya lisa alkua aninitext umekula bby, unafanyaje bby dah ***** sitasahau hadi siku niliamua kumtukana.
Mengi huwa hayapigi simu yanatiririka kwa message tu, ukilihoji wewe nani, linakuwa tayari jina sijui limekuona Tigo Pesa au M- Pesa, utashangaa linakwambia FULANI yaani ndo unajifanya leo hunifahamu ?

- Ogopa sana usiwe karibu nao wala kuhudhuria mialiko yao, utaisoma namba huko nyuma
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii,nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo,Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi,Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment,by then yule jamaa alikuwa front office manager,mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni,kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi,nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu,wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma,nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee,kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu,,Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay?Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika,nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai.Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
kila mtu anasumbuliwa, wale wanaopiga wapo kimyaaa
 
Back
Top Bottom