Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Huyu aliyesahau pikipiki kanichekesha hapo nimevuta picha jamaa baunsa halafu usoni kama Rickross
Halafu analitukana lenyewe linatabasamu tu,,,,,analipiga ngumi linasema hii sild muongeze bia zingine,,,,,,,hatari saaaaana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dav analiwa kweli kabisa. Mimi kwanza tomaso sana kuanza kuamini mtu analiwa. Mpaka siku nimeona anamtumia msg mkaka mmoja hiv rafiki yangu anamtongoza anamwambia anataka ampe kitu kitamu ambacho hajawahi kupewa. Ila pia ukimtania kuhusu ushoga wake wala hamind.
Dahhh jamaa sijui anakosa nini, hya bana ni maisha yake ila inasikitisha maana kwa mwonekano alio na usmart wake angeamua kuwa kidume angetafuna wadada hadi angechoka
 
Dahhh jamaa sijui anakosa nini, hya bana ni maisha yake ila inasikitisha maana kwa mwonekano alio na usmart wake angeamua kuwa kidume angetafuna wadada hadi angechoka
Anataka kuhongwa ndo shida.
 
Bro umenikumbusha Mbali sana. Naomb kila cku Mungu anisamehe, nlitongzwa na mashoga wawili ila wote nlfanikiwa kula mzgo sababu ya shdah 2, tena wanakata mauno zaid ya Hawa dada ze2, anakwambia kbs ntkpa raha hujawai pwa dunia hii na wk vzr.. samahni kwa watakaotoa povu, ipo cku ntaleta uzi khs Hawa viumbe
wacha uoga mtu akitaka pipe wewe mpelekee moto tu.
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
Wifii. Uliondoka nae?
 
leo nimetongozwa jamaa anataka kuliwa ila mimi sio anayemtaka aniwezeshe nimpe mawasiliano
 
Mimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu
Duuh
 
Kipindi fulani nilikuwa natumia mtandao wa Facebook nikatumiwa Sms na Jamaa mmoja hivi ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili.

Alianza kunisalimia na baadae maongezi ya kunisifi yaakanza ooh Wewe mrefu oh sijui imeenda imerudi unaonekana una bonge la Mashine, mara kifua kikubwa nilichomwambia Hakuendelea tena na ujinga wake.


Yule ni hasara kubwa sana kwa Wazazi wake.
Maweee mwinjilisti tena
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.

Na kusagwa ukasagwa bila shaka.
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.

Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.

Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?

Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.

Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.

Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
kuna gay hum anasumbua sana anaanzia na m4...
 
Afu baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana, hivi kuna la ajabu katika suala la mwanamke kuliwa mata.ko?
Ni sunna kama ilivyo kwenda chumvini.
Tena ukikutana na mwanaume anayejua anachofanya, very fantastic.
Na kama hataingiza nyuma...nitamruhusu aingize kidole.
Hakuna la ajabu.
Wengi sana wanafanyiwa huu mchezo, ila ukikutana nae katikati ya mada, atajifanya mlokole....hanyonywi kisimmi wala kufirw.a
Mscheeeeeeeeeeeeewwwwwwwww!!!!!!!!

Nimekuquote wewe ila ujumbe umeenda kwa wengine.
Mchana mwema.
Siamini nnachokisoma hakyanani!!
 
Hata pale Matema/C Park kinondoni B kuna wasagaji.
Nakumbuka nilikuwa nainuka kwenda msalani, ghafla mdada kavaa dera ananifuata nyuma.
Kufika msalani nae kasimama kwenye sinki nje....nilivyotoka akaanza kunitongoza kabisa.
Na aka-offer kuwa nikiondoka nae atanipa laki.
Nikajisemea laki kwa mtu asie na uume, haina hasara....
Mwisho....ila laki yake nilichukua.
loh!
 
Back
Top Bottom