Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ulikula kiboga wewe..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ulikula kiboga wewe..
La hasha, mkuu huwezi amini, niliitolea jicho laki9 na samsung double-screen lakini nilikataa na ndipo siku hiyo nilipojua kuwa kuna baadhi ya watoto wa kiume wanaharibika kwa tamaa.
 
Duh mlisagana...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Aiseeeee dunia simamaa nishukee looh...nna maswali mengi sana ya kumuuliza Mungu
 
Hiyo ishanitokea sana hadi nikafikia hatua ya kuanza kuwaombea tu kwa mungu maana matusi na hasira hazikusaidia chochote. Usimlaumu shoga mlaumu aliyemuingiza katika dhambi hiyo na hakika aliyefanya hivyo adhabu kali inamsubiri. Wengi wa hao ma shoga wamefundishwa wakiwa hawajakomaa kiakili. Sitasomesha mtoto Wangu wa kiume bweni
 
Nimewahi kutongozwa na mashoga watatu kipindi hicho nafanya kazi moshi mashoga hao wawili ni njiapanda ya himo uchira mmoja alikuwa ni mwanafunzi wa chuo cha Mwika, kiukweli mashoga wana saund sana huwezi hata kumpiga wala kumtukana sana sana utawaza sana mbinu za kuchomoka eneo husika.
 
ila niliwakataa wote japo waliniahidi vitu vizuri mmoja aliahid laki kila goli lakini nilikataa
 
Ila we hata yule Msagaji alikusaga siku ile sema ndo hivyo unasingizia tu kulewa maana tabia zako zinaonesha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…