Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Duuh ulipata wapi ujasiri wa kuondoka na mtu usiemfahamu mpaka kwake and you spent the night hata kama alilala? Kuna mambo ya ajabu na viumbe vya ajabu
Kweli nimeamini binadamu tunatofautiana kwa mengi
Kweli nimeamini binadamu tunatofautiana kwa mengi
Ahh wappp
Alikuwa amelewa.
Nimefika kwake kajibwaga pembeni kakoroma
Kumekucha akanipa changu