Ahh wappp
Alikuwa amelewa.
Nimefika kwake kajibwaga pembeni kakoroma
Kumekucha akanipa changu
Mimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu
Kipindi fulani nilikuwa natumia mtandao wa Facebook nikatumiwa Sms na Jamaa mmoja hivi ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili.
Alianza kunisalimia na baadae maongezi ya kunisifi yaakanza ooh Wewe mrefu oh sijui imeenda imerudi unaonekana una bonge la Mashine, mara kifua kikubwa nilichomwambia Hakuendelea tena na ujinga wake.
Yule ni hasara kubwa sana kwa Wazazi wake.
Ingekua mimi hata namba zao za simu ningefuta na wangekula block
Nimefanya hivyo Mkuu, kwa sasa sina mawasiliano nao na nilishahama mkoa
Hali kama hii tutapata waume wenye akili timamu kweli? Mungu atusaidie kwakweliMtia na mtiwaji wote ni mashoga
Mtatupata tu, mbona tupo[emoji39]Hali kama hii tutapata waume wenye akili timamu kweli? Mungu atusaidie kwakweli
Haha hilo fumbo sasaSo, humu hakuna yeyote aliyetafuna au kutafunwa??
Wote mlitegua mitego ya mapunga???
Mi nlikua najua. Shoga wanawake tuUnajua nilikuwaga nasikia ila yale majina wala hata sielewi ila nilipoanza kuona video zake ndo nilijikuta naanza kufatilia kwa kina hili swala likoje mwanzoni nilijuaga shoga ni mtu Ana tabia za kike bas wala sikuvuka mipaka zaidi ya hapo make nilijua haiwez
Umeonae hapo pagum kwerIla bora utokewe na GASHO kuliko kidume mwenzako ndo kikutake kikakutatue marinda aseeeee... dah yaani unajionaje sijui
Ndio jamii yetu hii ya unafiki unafiki!Haha hilo fumbo sasa
Bora umtaje ili aache hiyo tabia
Mtatupata tu, mbona tupo[emoji39]