Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Kwanza kabisa niwaambie kitu wabongo tuache unafiki....asilimia kubwa ya watu humu waliochangia wanadai kuwa wao ndo wametongozwa sio kutongoza hao wajinsia sawa na wao,wamedai pia wamewatolea nje hao mashoga...
Ipo hivi,nimewahi kufanya utafiti au kutaka kujua huko kwenye mapenzi ya jinsia moja hasa kuna nini? .Basi nikaanza harakati hizo kuingia katika mitandao yao(siwezi kuitaja hapa) nilichogundua ni kama ifuatavyo;-
Moja,kuna watu wengi sana vijana kwa watu wazima wamo katika hii michezo ambao ukitajiwa utabaki mdomo wazi ila kimsingi wapo wengi sana,
Mbili,sio mashoga wote wapo kama wanawake kuna watu ambao yupo kiume sana yaani mshikaji zaidi lakini ni shoga tena anapigwa sana yaani kama mwanamke,
Tatu,Kuna watu wazima wenyepesa zao unaweza kukuta hata humu wapo wanawashawishi vijana wakiume kuwa nao katika hayo mapenzi iwe kwa wao kuombwa kufanywa au kuwafanya mwisho wa siku hao vijana wanasambaza kwa wengine.
Nne,mitandao ya kijamii hasa fb na Instagram kimekuwa kichocheo kikubwa kwa watu kutongozana na urahisi kwa watu kufanya hivi vitendo.
Tano,ni watu wenye Siri kubwa sana katika hizo tabia kiasi kwamba huwezi kugundua kuwa wamo ila kiukweli kuna tatizo
Sita,kingine nilichokuja kugundua ni kwamba ni kitu ambacho kina nguvu sana kiasi kwamba ukishajiingiza kutoka sio rahisi maana kuna wengine wameingizwa na watu au walifata mkumbo au vyovyote vile ila wanataabika sana kutoka hasa vijana akifikia muda sasa wa kutaka kusettle na kuwa na familia wanashindwa na kuhisi kwamba watajulikana...
Kuna Mengi sana ambayo jamii haijui kuhusiana na hayo mambo ya LGBTQ,hivyo kujudge juu juu hatuwezi kupata solution ya maana...
USHAURI
Hasa kwa wazazi tuwe karibu sana na vijana wetu wakiume kwa ukaribu sana hii itakusaidia kumgundua mapema kama ameanza hizo tabia kwa sababu kuna viashiria vya mapema japo wengine wanafanya kwa Siri kubwa sana kama huna uelewa na hayo mambo huwezi kungundua
 
Uvaaji wenu wa siku hizi ndiyo umeleta haya! Pengine kijana alivaa kisuruali cha kubana bila kusahau hereni za kubandika na juu kuweka kiduku...mwana akajua ni mali mpya [emoji23][emoji23]
 
Mbona mwandiko wako unaakisi kuwa wewe Ni mmoja wao? Au ndo marketing strategy? Biashara matangazo.
 
Facebook na Badoo nishawai tongozwa na mashoga wakisifia eti nimependa weusi wako unanivutia ,nikiona ivyo namblock kbsa staki huo upuuzi....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
In
Inaonekana wewe ni mhanga katika hili why hivo
 
kumbe ushoga upo kutoka kitambo
 
Me nshamnyandua shoga mmoja nilitumia kinga lakni.ukimuona.huwezi.jua.kua.ni
Shoga.anavaa
Vizuri.tu
Tena
Kihiphop
Mwenyewe.nlikua
Sijui.wala kuhisi.kuwa ni.gay.one.day
Kanialika
Kwake.magetoni.vituko.alivyonifanyia.vilinconvice nimnyoose.malinda.yake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hana tabia za kike za umbeya au kurusha mikono
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ilikuaje?
 
unamchukua shoga unampeleka hotel???
 
Ww utakuwa n mdau bila shaka
 
Ulisagana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…