Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Duu pole sna aisee ,yni anaona akikupa elf 20 ndio million....kiukweli inasikitisha sna aisee na sjui kwanini mashoga yanazidi kuwa mengi aisee
Dah alituma na picha zake ni kijana yupo fresh kabisa tena ndo hawa washkaji wa kimarekani sana inasikitisha
 
Hivi wakuu .......kuna uhusiano gani ...kati ya wapiga GYM na ushoga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] coz nliwah tafutwa sana na hao watu baada ya kupost picha yangu fb since mm ni mtu wa mazoez
Na wajaa misuli pia ni mashoga sana sijui kwanini wale wanaopakuliwa
 
. .Uliona tofauti yoyote na kupigwa na Mtulinga??[emoji16]
 
Ukitazama hii utagundua mlalamikaji amewafollow mashoga kwenye group lao, ndio maana jamaa kauliza tu role gani
Sio kweli kabisaa mzee sijawahi sitawahi na sihusiani na hayo kabisa npo mbali sanaa na izo issue
 
ivi bongo kuna shemales? waliokutana nao watupe mrejesho
 
Hapo ndo nataka kujua ...kuna relation gan kati ya vitu ivo
Wale wasiofanya mazoezi Wanaopigwa wanaamini wafanya mazoezi wana pumzi, hata mademu ukiacha mvuto wa mwili wanaamini una pumzi, sasa sijaelewa wanaofanya mazoezi halafu wanapigwa ni kwanini

Unaweza kuona pande la mtu halafu linapumuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…