Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
harufu ya nnya mnavumiliaje?Wale wasiofanya mazoezi Wanaopigwa wanaamini wafanya mazoezi wana pumzi, hata mademu ukiacha mvuto wa mwili wanaamini una pumzi, sasa sijaelewa wanaofanya mazoezi halafu wanapigwa ni kwanini
Unaweza kuona pande la mtu halafu linapumuliwa
Ivi ni kwaniniUlikula?
Na ukila huachiii
Hiyo screen shot ni social network gani ??
ww uoni ameanza tu kuuliza role gan una play kweny uo uasherat
Labda una like na ku comment kweny pic zao
Nauli Dar-Nairobi 65k,Dar-Mombasa 30kKama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.
Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.
Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?
Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.
Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.
Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
Nashobokeaje kharam sheikh ni unakuta mtu tu anakuomba urafiki unamjua ni mtu wa hekima zake ukikubali unakuta anakuomba umpelekee motoUpo mbali na unaoyesha unashobokea?
Ningekuja kugundua tu mashoga ni weng kuliko tunavodhania wapo masikin matajiri wasomi na wasiosomaAisee ,wanaume wnaavyozidi kuwa mashoga na wanawake ndio wanazidi kutoa tigo aisee
Umarekani mwingi vipuri kata K kusuka kuvaa hereni me sio mtu wa ivo vitu npo kigentle sanawashkaji wa kimarekani ndo wapi hao?
Ile kitu ya mwanaume ni og wewe..... .Uliona tofauti yoyote na kupigwa na Mtulinga??[emoji16]
Ahh wappp
Alikuwa amelewa.
Nimefika kwake kajibwaga pembeni kakoroma
Kumekucha akanipa changu
HahahahIle kitu ya mwanaume ni og wewe....
Nilipita tuuWe dada wewe! Kwanini unapita pita huku!?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna wataalamu ili wakupe utajiri ni lazima umshawishi dada mpya awe msagaji au mwanaume mpya awe shoga.
Yani cha muhimu kama wewe ni mwanamke, inatakiwa ufanye juu chini umpate mwanamke mwenzako ambaye hajawahi kusagana umsage.... Pia kama wewe ni mwanaume inatakiwa ufanye lolote liwezekanalo uweze kumlala mwanaume mwenzako ambaye hajawahi kuguswa ndogo.
Mashart mengine ni wewe mhusika unayeutaka utajiri ukubali kuwa shoga... Yani angalau kila mwaka upigwe pump na mwanaume mpya
Mi napeleka moto tu yoyote aitakae na aje View attachment 1726860
Jiongeze...
Thanks mamii....Nimekupenda bureee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]