Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wale wasiofanya mazoezi Wanaopigwa wanaamini wafanya mazoezi wana pumzi, hata mademu ukiacha mvuto wa mwili wanaamini una pumzi, sasa sijaelewa wanaofanya mazoezi halafu wanapigwa ni kwanini

Unaweza kuona pande la mtu halafu linapumuliwa
harufu ya nnya mnavumiliaje?
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.

Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.

Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?

Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.

Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.

Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
Nauli Dar-Nairobi 65k,Dar-Mombasa 30k
 
We dada wewe! Kwanini unapita pita huku!?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Nilipita tuu
 
Kuna wataalamu ili wakupe utajiri ni lazima umshawishi dada mpya awe msagaji au mwanaume mpya awe shoga.

Yani cha muhimu kama wewe ni mwanamke, inatakiwa ufanye juu chini umpate mwanamke mwenzako ambaye hajawahi kusagana umsage.... Pia kama wewe ni mwanaume inatakiwa ufanye lolote liwezekanalo uweze kumlala mwanaume mwenzako ambaye hajawahi kuguswa ndogo.

Mashart mengine ni wewe mhusika unayeutaka utajiri ukubali kuwa shoga... Yani angalau kila mwaka upigwe pump na mwanaume mpya

Aisee kumbe haya mambo yapo hivi
This is so sad
 
Aisee
IMG_20210217_113137.jpg
 
Nimekupenda bureee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thanks mamii....
Yaani pamoja na kujieleza kote ila nashangaa bado katoka patupu.
Imebidi ajiongeze kurudia alikotoka huenda akapata uhakika....hahahah
 
Kuna mtangazaji mmoja wa televisheni, almaarufu sana, yule kijana ndio mambo zake kusumbua sumbua wakulungwa wampakue...

Kuna wakati alikuwa akitumika kwa mzee Machache, baadaye Tibisiii, sijui kwa sasa yupo bado Tibisiii au alisepa kituo kingine...
 
sijawaga mchangiaji wa huu uzi naona unatrend kiaina since 2018, binafsi nishasumbuliwa na limbwa fulani hivi lizee limoja hivi nikaliblock na kulitukana smmmh hii kitu ni distigust kwa kweli, yaan lize linalia lia kuniomba eti linataka nilibandue nyaa.

kuna scenario ukikaa vibaya unaeza pata hasira yaaan dume mwenzangu kabisa.

kuna best yangu mmoja yan home boy wangu kabisa since day moko toka moshi, namjua tulisoma college na chuo kimoja hapa bongo, asee kuna muda nilitakaga nimwambie akae vizuri maana anamuonekano wa kike kuanzia mormphology yake mpaka kakaa yake ila ni men na hana ushoga wakutoa nyaa.

navojua kalelewa na madada zake mno tena, anachoniboa anakaa na mademu mno na zile kauli zake za 'jaman shogaa sijakuona siku nyingi yaan shost we acha tu mwenzako nkajua ushaolewa, mara hivi viatu vimekupendeza na icho kigauni jamani ila zile high heels zako zinanoga ' huu usenge niliuchukia kwa msela.

ila tumepotezana sana tena sana.
 
Back
Top Bottom