Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Naomba kuuliza..

Shule za boarding zinahusiana vipi na mwanume kubadilika kuwa shoga?????

Maana kuna mtoto wa miaka8 yupo darasa la3 nataka kumpeleka boarding wakuu ila baada ya kupitia huu uzi naanza kuwa na hofu.
Boarding ndo chuo cha ushoga! Watoto wakubwa wanavidanganya vitoto vidogo wanavila. Mimi sipeleki mtoto boarding mpaka amemaliza form 4. Akifanya afanye na akili zake timamu
 
Wakija nipasie mmoja najua hutawamaliza wote[emoji23][emoji23]
 
Huko sahihi Kaka Kuna mtandao mmoja ndo wanakofanya mambo yao sitautaja ni spesho kwa mashoga tu Tena huko hapahapa bongo ukitaka shoga dakika moja we andika no zako wanakuja hata was sehemu unayotokea na wengine wanna sema watakulipa ili mradi uwagonge
 
Exotic??
 
Sio exotic Kaka huko mtandao mmoja una jina la kibongo mashoga humo wanajiuza wengine wanataka watu wa kuwagonga na wengine shemales pia wanafuta watu humo kwenye huo mtandao ukiandika nataka bottoms alafu ukataja sehemu unayotokea ukaandika no yako au email yako message sio muda zinaanza kuingia
O
 
 
Itaje hiyo site mkuu
 
Wewe Kibabu kafariki lini?? Na mashauzi pub yake pale Majengo! Mimi nimesoma na mdogo wake Aaron Seda Buluba Secondary (Sioi) pia na yeye ni Marehemu alifariki mwaka 2013 nadhani kwa ajali ga gari huko Mtwara alikua anasoma Chuo cha Saut, Mtwara!
Jamaa alifariki nadhani 2018 au 2019..hatunae tena kitambo sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…