Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Kuna kipindi kati ya mwaka Fulani nilikuwa napiga gym nilijaa vizuri na body limekatika nilikuwa na post FB picha, kuna siku nikapost bila shati nika tags friends mbavu wote So picha ilikuwa Viral kwenye account za body builder...naona kuna shoga wawili mmoja Inbox mwengine Timeline wananichatish mmoja akaniambia 'Regent nataka unif'......
 
Ni huyo hakuna mwingine hapo kutoka Kwa mengi Hadi itv,Nani mwingine? Na story za town ni hizo kumhusu huyo jamaa au kuna mwingine?
Basi sijaona kama alimtaja huyo
 
huna watoto wa kike?dada/ mama? shangazi???????
 
Hivi mnapataga raha gani kufanya mapenzi kinyume na maumbile?huu ni ushetani believe me
 
Hii namba moja alivyokuwa anamnanga mwenzake anajifanya ana mafile yake mengi ya kwenda marekani mara kwa mara kumbe na yeye mdau
 
Tupe jina
 
TNG(Tanzania Network of Gay) nilikutana nao bahati mbaya nikikosea spellings katika kusearch nikajikuta uko inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…